KINANA AKERWA NA UPORAJI WA MAENEO YA WANANCHI KUTOKA KWA BAADHI YA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI WILAYANI BABATI VIJIJINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Aku_9jGbS9Y/U4edo3anQ8I/AAAAAAACid4/7nw9Ok4wBU0/s72-c/6.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza maswali na changamoto mbalimbali walizonazo kutoka kwa Wananchi wa kata ya Ayamango (Gallapo),Wilayani Babati Vijijini mkoani Manyara kwenye mkutano wa hadhara.Baada ya kusikiliza maswali kinana alionekana kukerwa kwa kiasi kikubwa wananchi wanavyoporwa maeneo yao na viongozi wa chama na Serikali wakiwemo na baadhi ya wawekezaji, Kinana aliahidi suala hilo ambalo limekithiri kwa kiasi kikubwa wilayani humo,kulitafutia ufumbuzi kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog10 May
Kinana : Viongozi wana mengi ya kujifunza kutoka Kwa Wananchi
![6](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/63.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Igunga kwenye viwanja vya Sokoine na kutaka Viongozi wajifunze kutoka kwa wananchi ili waendane na kasi ya mabadiliko.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Igunga waliojitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya mikutano vya Sokoine na kuwaambia wanasiasa waache kuwababaisha watu na suala la muundo wa serikali badala yake waje na hoja zinazogusa maisha ya kila siku mfano changamoto la mbegu za Pamba...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-_D6D5O30SCA/VDQ6DaT8RZI/AAAAAAAASDg/kUZe5hTgBAc/s72-c/1.jpg)
KINANA AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI KUJIBU MASUALA YA WANANCHI KWA WAKATI
![](http://2.bp.blogspot.com/-_D6D5O30SCA/VDQ6DaT8RZI/AAAAAAAASDg/kUZe5hTgBAc/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-392Jl4Qph0U/VDQ6HIfDgkI/AAAAAAAASEY/yIpRu8gcbMk/s1600/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-7nGkRlj44m0/VDQ6Lr5GugI/AAAAAAAASFQ/nhHffKIGOlg/s1600/4.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-fMyFWmv_j_8/VDQ6L6U0zCI/AAAAAAAASFU/T1RQzFDtXAc/s1600/5.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OnosBiFecAk/U4i5J7CLfLI/AAAAAAACig8/9MS1oFaX5wE/s72-c/15.jpg)
KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI BABATI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI KITETO MKOANI MANYARA
![](http://2.bp.blogspot.com/-OnosBiFecAk/U4i5J7CLfLI/AAAAAAACig8/9MS1oFaX5wE/s1600/15.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/1yqffN3hb5k/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Ubadhirifu wa fedha na rasilimali wapungua vijijini kwa viongozi kuhofia kuchukuliwa hatua na wakazi wa maeneo hayo
Waraghbishi toka vijiji vya Iponya, Nyakasumula, Bukandwe na Shenda wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti na mtendaji wa kijiji cha Shenda.
Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita.
Ni katika mazungumzo...
5 years ago
MichuziCWT SINGIDA VIJIJINI: BAADHI YA MAKATIBU WA CHAMA CHA WALIMU NI MZIGO
Mwenyekiti Mpya wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Singida Vijijini, Joselen Kato Samwel, akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho baada ya kutangazwa mshindi.
Msimamizi wa uchaguzi huo, Katibu wa CWT, Manispaa ya Singida, Jones Madale (katikati), akitangaza washindi.
Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT ) Wilaya ya Singida Vijijini, Kitengo (KE), Jaha Mwemkala, akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.
Baadhi...
11 years ago
Mwananchi26 May
Kinana akerwa na viongozi wabovu
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-B1LTxA_7O18/U4cACO2XSII/AAAAAAACicA/2ou1KsNdnRg/s72-c/3.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI BABATI LEO, AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MANYARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-B1LTxA_7O18/U4cACO2XSII/AAAAAAACicA/2ou1KsNdnRg/s1600/3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-k_HQcb7u2Hw/U4b_8aT-OPI/AAAAAAACibY/uTi3goEjv0A/s1600/1.jpg)