Kinana akerwa na viongozi wabovu
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema bado kuna viongozi na watendaji ambao hawatekelezi majukumu yao lakini hawachukuliwi hatua zinazostahili na mamlaka za juu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
KINANA AKERWA NA UPORAJI WA MAENEO YA WANANCHI KUTOKA KWA BAADHI YA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI WILAYANI BABATI VIJIJINI

11 years ago
Mwananchi16 Sep
Kinana azidi kulia na watendaji wabovu
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
‘Sababu za uchumi mbovu ni viongozi wabovu’
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema sababu za kuwa na uchumi tegemezi zinatokana na viongozi wabovu wanaoendesha nchi kiholela. Profesa Lipumba ambaye pia ni mtaalamu wa...
11 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Rushwa hizi zitatupatia viongozi wabovu 2015
WAKATI Watanzania wakijiandaa kuingia kwenye mwaka wa uchaguzi mkuu utakaoiingiza awamu ya tano ya uongozi wa taifa letu, rushwa bado ni tatizo kubwa ndani ya jamii. Rushwa na uzembe wa...
10 years ago
Mwananchi09 Sep
‘Nyomi, umaarufu utaweka viongozi wabovu madaraka’
10 years ago
Habarileo08 Jun
Kinana akerwa mafisadi kulindwa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea watu wanaotumia siasa kama kichaka cha kuficha dhambi zao kwa kufanya ufisadi, lakini wanapobainika, hujitetea kwa kusema wanafanyiwa hivyo kutokana na siasa.
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Kinana akerwa kuchelewa ujenzi wa bandari
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeijia juu serikali kwa kumkumbatia mkandarasi asiye na uwezo wa kujenga bandari ndogo ya Karema, mkoani Katavi. CCM imewaomba radhi wananchi wa Karema na Mkoa wa...
11 years ago
Habarileo02 Apr
Kinana akerwa vikwazo kwa wakulima Rukwa
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, amesema tatizo la wakulima wa Mkoa wa Rukwa, kuwekewa vikwazo na kupangiwa maeneo na muda wa kuuza mazao yao ni lazima liwe historia ili waondokane na umasikini.
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Kinana awashukia viongozi goigoi