Kinana azidi kulia na watendaji wabovu
Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameanza ziara mkoani Pwani kwa kuendelea kupokea shutuma dhidi ya viongozi wa Serikali ambao ni wazito katika kutatua kero za wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 Dec
Muhongo awashukia watendaji wabovu
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Lugola awachongea watendaji wabovu
SERIKALI imetakiwa kuchukua hatua madhubuti za kushughulikia tatizo la watendaji wabovu ndani ya halmashauri nchini, vinginevyo hata bajeti ya maendeleo ikiongezwa na kupelekwa kwa wakati haiwezi kuleta tija kwa wananchi....
11 years ago
Mwananchi26 May
Kinana akerwa na viongozi wabovu
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
Magufuli azidi kuibomoa CHADEMA Kilimanjaro, awatolea uvivu watendaji TANESCO
![](http://2.bp.blogspot.com/-OGr2OF03wZ0/VhVgajlqopI/AAAAAAADAfY/ia6t2aPSyRU/s640/_MG_4268.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AtjfBuIkpDE/VhVgd7jOQLI/AAAAAAADAfo/RWAZtirQGcw/s640/_MG_4282.jpg)
Dk. John Pombe Magufuli na mgombea ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu
Davis Mosha wakimsikiliza Bw. Lema aliyekuwa Katibu wa Chadema
wilaya ya Hai wakati alipojiunga na...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OGr2OF03wZ0/VhVgajlqopI/AAAAAAADAfY/ia6t2aPSyRU/s72-c/_MG_4268.jpg)
MAGUFULI AZIDI KUIBOMOA CHADEMA KILIMANJARO,AWATOLEA UVIVU WATENDAJI WA SHIRIKA LA UMEME NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-OGr2OF03wZ0/VhVgajlqopI/AAAAAAADAfY/ia6t2aPSyRU/s640/_MG_4268.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AtjfBuIkpDE/VhVgd7jOQLI/AAAAAAADAfo/RWAZtirQGcw/s640/_MG_4282.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-QZb7iKOLbNg/VhVgFnBn7DI/AAAAAAADAd4/-F5GPblAf8o/s640/_MG_3942.jpg)
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Kinana awalipua watendaji, viongozi
10 years ago
Habarileo01 Oct
Kinana ataka watendaji wawajibike
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekosoa tabia ya watendaji wa serikali, kushindwa kuwajibika katika nafasi zao na kusukuma matatizo yote kwa Waziri Mkuu na Rais.
10 years ago
VijimamboOMREDI KINANA AZIDI KUCHANA MBUGA, ATUA KYERWA, KAGERA
Kishinju ambaye ana shamba la migomba heka 3 mchanganyiko na kahawa, kwa mwezi huuza...
11 years ago
Dewji Blog24 May
Kinana azidi kuchanja mbuga, atua jimbo la Iramba — Singida
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Iramba Magharibi wakati wa mapokezi katika kijiji cha Kiselya. Katibu Mkuu na msafara wake wameanza ziara katika wilaya ya Iramba kwa lengo la kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010 pamoja na kukagua uhai wa chama.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kubeba mawe ya ujenzi wa kituo cha afya cha Kiselya, wilaya ya Iramba kwa kushirikiana na viongozi wengine pamoja a wananchi.
Katibu Mkuu...