Kinana ataka watendaji wawajibike
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekosoa tabia ya watendaji wa serikali, kushindwa kuwajibika katika nafasi zao na kusukuma matatizo yote kwa Waziri Mkuu na Rais.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKINANA ATAKA WALIOSABABISHA MATATIZO KWENYE KIWANDA CHA CHAI MPONDE WAWAJIBIKE SASA HIVI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kata ya Mbuzii (hawapo pichani).Katibu Mkuu leo alianza ziara yake katika kata ya Mbuzii ambapo alishiriki ujenzi wa ofisi ya chama sehemu ambayo inahistoria kwani ilitumika kwa kufanya mikutano ya harakati za kutafuta Uhuru na ni sehemu iliyojengwa ofisi ya kwanza ya Tanu wilaya ya Lushoto. Wananchi wa kata ya Mbuzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Waziri ataka watendaji mifugo wabadilike
WAZIRI wa Maendeleo na Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani amewataka watendaji wa wizara hiyo kubadilika ili sekta ya mifugo ijiendeshe kibiashara na kuacha kusubiri bajeti ya Serikali. Alisema hayo jana wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti Wa Mifugo Tanzania (Taliri) iliyopo Mpwapwa mkoani Dodoma.
11 years ago
Habarileo24 Feb
Bulembo ataka tabia ya kukataa watendaji ikome
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekemea tabia ya viongozi wa wilaya na mikoa wanaokataa watendaji wanaopelekwa kufanya kazi katika maeneo yao.
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Kinana awalipua watendaji, viongozi
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Kinana azidi kulia na watendaji wabovu
11 years ago
Habarileo26 Mar
Kinana- Watendaji CCM tekelezeni Ilani
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana, amewaasa viongozi na watendaji wa chama hicho kutekeleza ilani kwa kuwa chama hicho hakiko tayari kupoteza imani kwa wananchi hasa katika kipindi kijacho cha uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
10 years ago
VijimamboKINANA ATAKA VIJANA WAPEWE FURSA
10 years ago
Habarileo03 Oct
Kinana ataka mahakama zitetee wanyonge
IMEELEZWA kuwa mahakama zimegeuzwa kuwa vichaka vya kuwakandamiza wanyonge badala ya kutoa haki. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana kwenye shamba la mahindi la Kwamnyefu baada ya kupewa malalamiko ya wananchi waliokosa maeneo ya kulima huku wawekezaji wanaomiliki mashamba ya mkonge wakishindwa kuyaendeleza.