KINANA ATAKA WALIOSABABISHA MATATIZO KWENYE KIWANDA CHA CHAI MPONDE WAWAJIBIKE SASA HIVI
![](http://1.bp.blogspot.com/-XghLf9AkOCw/VCmYsGwnbsI/AAAAAAAARm0/4LU9yUEYsiY/s72-c/3.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kata ya Mbuzii (hawapo pichani).Katibu Mkuu leo alianza ziara yake katika kata ya Mbuzii ambapo alishiriki ujenzi wa ofisi ya chama sehemu ambayo inahistoria kwani ilitumika kwa kufanya mikutano ya harakati za kutafuta Uhuru na ni sehemu iliyojengwa ofisi ya kwanza ya Tanu wilaya ya Lushoto.
Wananchi wa kata ya Mbuzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKINANA AWATAKA WALIOSABABISHA HASARA KUFUNGWA KIWANDA CHA CHAI MPONDE, BUMBURI WAWAJIBISHWE HARAKA
10 years ago
Michuzi30 Sep
KINANA ATINGA BUMBULI, ANG'AKA KIWANDA CHA CHAI KUFA MPONDE, ATAKA VIONGOZI WALIOHUSIKA WAWAJIBISHWE.
![](https://4.bp.blogspot.com/-Gio2ThOpzPg/VCmrI_Da4aI/AAAAAAAAqyk/iNLIzdPOb9c/s1600/19a.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika kata ya Mponde, akiwa katika ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua, katika jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto mkoani Tanga, Septemba 29, 2014. Akizungumza na mamia ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Kijiji cha Mponde, Kinana ameitaka serikali kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wote waliohusika kwa namna moja au nyingine...
10 years ago
Vijimambo05 Jan
9 years ago
StarTV30 Sep
 Lowassa aahidi kufungua kiwanda cha chai Mponde
Mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amesema wananchi wakimpa ridhaa ya kuwa Rais ndani ya miezi sita atahakikisha kiwanda cha chai cha Mponde kinafunguliwa na kuanza kuwanufaisha wakulima wa zao hilo.
Kiwanda cha chai cha Mponde kilifungwa baada ya wananchi kuingia kwenye mgogoro wa kimaslahi na aliyekuwa mwekezaji wa kiwanda hicho. Taarifa zaidi na mbonea Herman:
Lowassa alikutana na wananchi waliokuwa wakimsubiri ,lakini kabla ya kuzungumza na wananchi...
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wakulima wa chai Tanga walilia kiwanda cha Mponde
KUTOKANA na wakulima wa chai wilayani Lushoto kukosa sehemu ya kuuza zao lao hilo kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa wameamua kutafuta njia za kisheria zaidi. Kiwanda walichokuwa wanakitegemea kuuza...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hTatP_zVjoM/VKlz9IqR0NI/AAAAAAAG7PI/5K6AotcREyU/s72-c/IMG_3947.jpg)
JK AKIREJESHA KIWANDA CHA CHAI CHA MPONDE LUSHOTO KWA WANANCHI
![](http://1.bp.blogspot.com/-hTatP_zVjoM/VKlz9IqR0NI/AAAAAAAG7PI/5K6AotcREyU/s1600/IMG_3947.jpg)
Hayo ni Mafanikio ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-zZm5M3lMGy0/VKkz8Cf2z3I/AAAAAAAAVKQ/7M1-gFxUR4M/s72-c/2.jpg)
WANANCHI WA KIJIJI CHA MPONDE WARUDISHIWA UMILIKI WA KIWANDA CHA CHAI
![](http://3.bp.blogspot.com/-zZm5M3lMGy0/VKkz8Cf2z3I/AAAAAAAAVKQ/7M1-gFxUR4M/s1600/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-oUWk_jN_sw4/VKkz-AXIfSI/AAAAAAAAVKc/KSsPgN5pcz8/s1600/3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-t8EzhjnGIuc/VKk0IvM7tUI/AAAAAAAAVKk/-yUVueYsfyU/s1600/4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-q_UGFAqiK0U/VKlyOBMUTzI/AAAAAAAAVK0/_ce_iuj8qGQ/s1600/1.jpg)
10 years ago
Michuzi05 Jan
SERIKALI YAREJESHA KIWANDA CHA CHAI CHA MPONDE MIKONONI MWA WANANCHI.
10 years ago
Dewji Blog04 Jan
Rais Jakaya Kikwete akirejesha kiwanda cha Chai cha Mponde Lushoto kwa wananchi
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba wakati alipowasili jimboni humo katika wilaya ya Lushoto. akiwa katika ziara ya siku mbili ambapo amefanya mkutano wa hadhara katika kata ya Mponde na kuwataarifu wananchi na wakulima wa Chai kuhusu maagizo ya Rais Jakaya Kikwete juu ya kukirejesha kiwanda cha Chai cha Mponde kwa wananchi , Awali kiwanda hicho kilikuwa kinamilikiwa na Mwekezaji Yusuf Mulla na kilifungwa kutokana na...