KINANA AWATAKA WALIOSABABISHA HASARA KUFUNGWA KIWANDA CHA CHAI MPONDE, BUMBURI WAWAJIBISHWE HARAKA
 Katibu Mkuu wa CCM, akiwapungia wananchi mikono alipowasili kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Mponde, Jimbo la Bunburi, ambapo aliwahakikishia wananchi kulitafutia ufumbuzi tatizo la kufungwa kwa kiwanda cha chai cha Mponde wilayani Lushoto,Mkoani Tanga. Kinana aliwataka viongozi wote wa CCM na Serikali waliohusika kufungwa kwa kiwanda hicho na kuwasababishia adha wananchi kuwajibika wenyewe au kuwajibishwa.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-XghLf9AkOCw/VCmYsGwnbsI/AAAAAAAARm0/4LU9yUEYsiY/s72-c/3.jpg)
KINANA ATAKA WALIOSABABISHA MATATIZO KWENYE KIWANDA CHA CHAI MPONDE WAWAJIBIKE SASA HIVI
![](http://1.bp.blogspot.com/-XghLf9AkOCw/VCmYsGwnbsI/AAAAAAAARm0/4LU9yUEYsiY/s1600/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-w2qyz4kRP94/VCmYihdFioI/AAAAAAAARmI/JXVXmO7T0v8/s1600/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-c8oZKo2ODiQ/VCmY3q_5NgI/AAAAAAAARoA/uQFRtBxyj8I/s1600/5.jpg)
10 years ago
Michuzi30 Sep
KINANA ATINGA BUMBULI, ANG'AKA KIWANDA CHA CHAI KUFA MPONDE, ATAKA VIONGOZI WALIOHUSIKA WAWAJIBISHWE.
![](https://4.bp.blogspot.com/-Gio2ThOpzPg/VCmrI_Da4aI/AAAAAAAAqyk/iNLIzdPOb9c/s1600/19a.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika kata ya Mponde, akiwa katika ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua, katika jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto mkoani Tanga, Septemba 29, 2014. Akizungumza na mamia ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Kijiji cha Mponde, Kinana ameitaka serikali kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wote waliohusika kwa namna moja au nyingine...
10 years ago
Vijimambo05 Jan
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Mwaka mmoja baada ya kuanzishwa; Halmashauri ya bumburi yafunga kiwanda cha chai
9 years ago
StarTV30 Sep
 Lowassa aahidi kufungua kiwanda cha chai Mponde
Mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amesema wananchi wakimpa ridhaa ya kuwa Rais ndani ya miezi sita atahakikisha kiwanda cha chai cha Mponde kinafunguliwa na kuanza kuwanufaisha wakulima wa zao hilo.
Kiwanda cha chai cha Mponde kilifungwa baada ya wananchi kuingia kwenye mgogoro wa kimaslahi na aliyekuwa mwekezaji wa kiwanda hicho. Taarifa zaidi na mbonea Herman:
Lowassa alikutana na wananchi waliokuwa wakimsubiri ,lakini kabla ya kuzungumza na wananchi...
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wakulima wa chai Tanga walilia kiwanda cha Mponde
KUTOKANA na wakulima wa chai wilayani Lushoto kukosa sehemu ya kuuza zao lao hilo kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa wameamua kutafuta njia za kisheria zaidi. Kiwanda walichokuwa wanakitegemea kuuza...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-zZm5M3lMGy0/VKkz8Cf2z3I/AAAAAAAAVKQ/7M1-gFxUR4M/s72-c/2.jpg)
WANANCHI WA KIJIJI CHA MPONDE WARUDISHIWA UMILIKI WA KIWANDA CHA CHAI
![](http://3.bp.blogspot.com/-zZm5M3lMGy0/VKkz8Cf2z3I/AAAAAAAAVKQ/7M1-gFxUR4M/s1600/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-oUWk_jN_sw4/VKkz-AXIfSI/AAAAAAAAVKc/KSsPgN5pcz8/s1600/3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-t8EzhjnGIuc/VKk0IvM7tUI/AAAAAAAAVKk/-yUVueYsfyU/s1600/4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-q_UGFAqiK0U/VKlyOBMUTzI/AAAAAAAAVK0/_ce_iuj8qGQ/s1600/1.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hTatP_zVjoM/VKlz9IqR0NI/AAAAAAAG7PI/5K6AotcREyU/s72-c/IMG_3947.jpg)
JK AKIREJESHA KIWANDA CHA CHAI CHA MPONDE LUSHOTO KWA WANANCHI
![](http://1.bp.blogspot.com/-hTatP_zVjoM/VKlz9IqR0NI/AAAAAAAG7PI/5K6AotcREyU/s1600/IMG_3947.jpg)
Hayo ni Mafanikio ya...
10 years ago
Michuzi05 Jan
SERIKALI YAREJESHA KIWANDA CHA CHAI CHA MPONDE MIKONONI MWA WANANCHI.