Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri ataka watendaji mifugo wabadilike

WAZIRI wa Maendeleo na Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani amewataka watendaji wa wizara hiyo kubadilika ili sekta ya mifugo ijiendeshe kibiashara na kuacha kusubiri bajeti ya Serikali. Alisema hayo jana wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti Wa Mifugo Tanzania (Taliri) iliyopo Mpwapwa mkoani Dodoma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RIDHIWAN KIKWETE ATAKA KUHAKISHIWA USALAMA WA MIFUGO KABLA YA KUPELEKWA MAHAKAMANI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani Ridhiwan Kikwete ametaka ufafanuzi kuhusu usalama wa mifugo ambayo itakamatwa baada ya kuingia kwenye maeneo ya hifadhi kabla ya kesi kuanza Mahakamani.
Akizungumza leo Juni 10,2020,Bungeni Mjini Dodoma wakati wa kuchangia muswada wa marekebisha ya sheria mbalimbali ambao umewasilishwa bungeni hapo na moja marekebisho hayo inahusu Wanyamapori na Uhifadhi.
"Kwanza naomba nianze kwa kukupongeza Naibu Spika Dk.Tulia Acksoni...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana ataka watendaji wawajibike

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekosoa tabia ya watendaji wa serikali, kushindwa kuwajibika katika nafasi zao na kusukuma matatizo yote kwa Waziri Mkuu na Rais.

 

11 years ago

Habarileo

Bulembo ataka tabia ya kukataa watendaji ikome

Abdallah BulemboJUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekemea tabia ya viongozi wa wilaya na mikoa wanaokataa watendaji wanaopelekwa kufanya kazi katika maeneo yao.

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda katika tete-a-tete na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi

PG4A8336

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa  Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani, bungeni mjini Dodoma May 7, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri asikitishwa mifugo kutonufaisha nchi

WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amesikitishwa na wizara hiyo licha ya kuwa na mifugo milioni 22.8 lakini haionyeshi kuwa na mchango mkubwa kwa pato la...

 

10 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa IFAD amtembelea Waziri Mifugo na Uvuvi ofisini kwake leo

Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb), Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Kimatifa la IFAD (International Fund for Agricultural Development) Ndugu Francisco Pichon (wa pili kushoto) alipomtembelea Ofisini kwake Dodoma. Mwakilishi wa IFAD alikuwa akielezea maendeleo katika utekelezaji wa mradi wa kuchimba visima virefu vya maji kwa binadamu na mifugo unaofadhiliwa na IFAD katika Wilaya za Bahi, Chamwino, Kiteto na Kondoa....

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri awashukia watendaji mgodini

Waziri wa Nishati ya Madini, George Simbachawene amewataka wawakilishi wa Serikali kwenye Mgodi wa Tanzanite One kutekeleza wajibu wa kulinda masilahi ya Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani