Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri asikitishwa mifugo kutonufaisha nchi

WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amesikitishwa na wizara hiyo licha ya kuwa na mifugo milioni 22.8 lakini haionyeshi kuwa na mchango mkubwa kwa pato la...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda katika tete-a-tete na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi

PG4A8336

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa  Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani, bungeni mjini Dodoma May 7, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Habarileo

Waziri ataka watendaji mifugo wabadilike

WAZIRI wa Maendeleo na Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani amewataka watendaji wa wizara hiyo kubadilika ili sekta ya mifugo ijiendeshe kibiashara na kuacha kusubiri bajeti ya Serikali. Alisema hayo jana wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti Wa Mifugo Tanzania (Taliri) iliyopo Mpwapwa mkoani Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, asikitishwa na mtindo wa “Tegesha” unaofanywa na wananchi eneo la kuzunguka mgodi wa North Mara

 Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, akizungumza na mama huyu mkazi wa kijiji cha Nyakunguru, kilicho jirani na eeno la mgodi wa North Mara, huko Nyamongo wilayani Tarime mkoa wa Mara, wakati alipofanya ziara ya kutembelea maeneo yanayozunguka mgodi huo Jumatatu Mei 5, 2015 ili kufahamu jitihada za mgodi kuendeleza miradi ya kijamii na changamoto ambazo Jamii na Mgodi zinapata kutokana na shughuli za uchimbaji.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, (Wapili...

 

5 years ago

Michuzi

PROF OLE GABRIEL AIAGIZA NARCO KUHAKIKISHA NCHI INAKUA NA MIFUGO YA KUTOSHA KIPINDI HIKI CHA CORONA

KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel ameitaka hifadhi ya ranchi za taifa (NARCO) kwa kushirikiana wadau wengine wa sekta ya Mifugo kuhakikisha Nchi inakuwa na Mifugo ya kutosha na yenye afya kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya bidhaa zitokanazo na mifugo wakati huu wa janga la Ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (Covid 19) na hata mara baada ya janga hilo kuisha.
Prof Ole Gabriel ameyasema hayo leo alipofanya ziara katika Wilaya...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Mahenge azindua tovuti ya mabadliko ya tabia nchi.

Mheshimiwa      Eng  Dkt. Binirithi S.  Mahenge  (mbunge)  Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa  Rais (mazingira) azindua tovuti ya mabadiliko ya tabia  nchi. Katika hotuba yake fupi ya uzinduzi wa tovuti hiyo, aliyoandaliwa kwa ufadhili wa serikali ya Denmark Mh. Binirithi  Mhenge amesema kuwa mabadiliko ya tabia ya nchi huangaliwa kwa muda wa miaka 30 hivyo kwa kipindi hiki chote kumekuwa na madhara mengi yatokanayo na athari za mabadiliko ya tabia Nchi ikiwa ongezeko la joto, kina cha bahari...

 

10 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa IFAD amtembelea Waziri Mifugo na Uvuvi ofisini kwake leo

Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb), Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Kimatifa la IFAD (International Fund for Agricultural Development) Ndugu Francisco Pichon (wa pili kushoto) alipomtembelea Ofisini kwake Dodoma. Mwakilishi wa IFAD alikuwa akielezea maendeleo katika utekelezaji wa mradi wa kuchimba visima virefu vya maji kwa binadamu na mifugo unaofadhiliwa na IFAD katika Wilaya za Bahi, Chamwino, Kiteto na Kondoa....

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi afanya ziara katika Wilaya ya Momba na Mkoa wa Rukwa

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (wa tano kushoto) akipewa maelezo alipoenda kukagua eneo linalotegemewa kujengwa soko la kimaifa la samaki eneo la Tunduma katika Wilaya ya Momba. (Picha na Mwakipesile). Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (kati), akipewa maelezo alipotembelea kiwanda cha kusindika nyama cha SAAFI kilichopo Sumbawanga. Kulia kwake ni Mhe. Chrisant Mzindakaya mmiliki wa kiwanda cha SAAFI. Kiwanda hicho kina uwezo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani