Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana- Watendaji CCM tekelezeni Ilani

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana, amewaasa viongozi na watendaji wa chama hicho kutekeleza ilani kwa kuwa chama hicho hakiko tayari kupoteza imani kwa wananchi hasa katika kipindi kijacho cha uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kinana: Kazi sasa ni kutekeleza Ilani

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema ushindi wa urais wa Dk John Magufuli kupitia chama hicho, ni ishara kuwa wananchi wameendelea kuiamini CCM.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana awalipua watendaji, viongozi

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewataka wabunge, madiwani na viongozi wa serikali za vijiji wenye utamaduni wa kuangalia mambo binafsi kwanza badala ya kuwatumikia wananchi kuacha mara moja tabia hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana ataka watendaji wawajibike

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekosoa tabia ya watendaji wa serikali, kushindwa kuwajibika katika nafasi zao na kusukuma matatizo yote kwa Waziri Mkuu na Rais.

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA MWENZA WA CCM SAMIAH SULUHU ANADI ILANI YA CCM MWAKA 2015 KATIKA KATA YA KYENGEGE,WILAYA YA IRAMBA

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kwa Chama cha Mapinduzi Bi.Samia Suluh akisalimiana na Mh;Mwigulu Nchemba ambaye ni mgombea Ubunge jimbo la Iramba hii leo,Bi.Samiah suluhu katika ziara yake ya kampeni ndani ya mkoa wa Singida,hii leo amefika Kata ya Kyengege Jimbo la Iramba kwaajili ya kunadi Ilani ya CCM ya uchaguzi ya Mwaka 2015 na kuomba kura za kishindo kwa nafasi zote za Udiwani,Ubunge na Urais ifikapo Tar.25.10.2015
Bi.Samiah Suluhu ambaye ni Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana katika ziara ya kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2010

130

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Kata ya Kimanzichana jana wakati alipoanza ziara yake ya mikoa ya Pwani ,Tanga na Iringa Ikiwa ni kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2010 huku akihimiza wananchi kushiriki katika shughuli za kujiletea maendeleo katika maeneo yao, Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa Itikadi na Uenezi na leo amefanya shughuli mbalimbali katika ziara hiyo. (PICHA NA...

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana azidi kulia na watendaji wabovu

Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameanza ziara mkoani Pwani kwa kuendelea kupokea shutuma dhidi ya viongozi wa Serikali ambao ni wazito katika kutatua kero za wananchi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Habarileo

Ilani ya Uchaguzi ya CCM yaiva

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula (kulia) na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakiimba wimbo wa chama wakati wa ufunguzi wa kikao maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoijadili na kupitisha ilani ya CCM 2015-2020 katika ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana. (Picha na Freddy Maro).KIKAO Maalumu cha Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza jana Mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Jakaya Kikwete, kwa ajili ya kupitisha Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015.

 

9 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani