Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana katika ziara ya kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2010

130

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Kata ya Kimanzichana jana wakati alipoanza ziara yake ya mikoa ya Pwani ,Tanga na Iringa Ikiwa ni kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2010 huku akihimiza wananchi kushiriki katika shughuli za kujiletea maendeleo katika maeneo yao, Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa Itikadi na Uenezi na leo amefanya shughuli mbalimbali katika ziara hiyo. (PICHA NA...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BAADHI YA CHANGAMOTO ZILIZOTATULIWA KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA 2015-2020

Na Vero Ignatus.

Diwani aliyemaliza muda wake wa kata ya Tumbi wilayani Kibaha mkoa wa Pwani  Hemed Mnkai Chanyika akiwasilisha taarifa ya utekelezaji  ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015-2020 ameeleza kuwa katika kipindi chake cha uongozi amefanikiwa kutatua changamoto mbalimbali za wananchi ikiwemo miundombinu ,elimu,Afya,maji
michezo na ardhi. 

Ameeleza hayo Jana Kibaha  kuwa katika kusimamia tatizo la ajira kwa vijana aliweza kutoa mikopo mbalimbali kwa vijana,ili waweze kujiajiri na hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein aendelea kukutana na Mabalozi na wenyeviti wa maskani katika mfululizo wa ziara zake za mikutano ya kuimarisha Chama,Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi CCM katika viwanja vya Ofisi ya Mkoa Amani leo alipofika kuzungumza na Mabalozi na wenyeviti wa maskani katika mfululizo wa ziara zake za mikutano ya kuimarisha Chama katika Mikoa ya Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya kuimarisha chama ya MNEC manispaa ya Singida, Hassan Mazala

DSC00878

Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida, Hassan Philip Mazala, akizindua tawi la wajasiriamali wa Msimbazi kata ya Mwankoko.

DSC00899

Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida, Hassan Philip Mazala, akihutubia wakazi wa kijiji cha Mwankoko wakati wa ziara yake ya kukiimarisha chama.Wa kwanza kushoto ni katibu CCM manispaa ya Singida, Magdalena Ndwete. DSC00913 Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida,Hassan Philip Mazala ,akimkabidhi kadi...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA,AKUTANA NA MABALOZI WILAYA KATI,UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Ngazi mbali mbali za Chama cha Mapinduzi alipofika katika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja alipofika kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Mkutano maalum wa mwendelezo wa ziara zake za kumarisha Chama.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani