BAADHI YA CHANGAMOTO ZILIZOTATULIWA KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA 2015-2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-PREf2LnUxEU/XuobkqB7WjI/AAAAAAALuPQ/sw-CMhavQnIwfKylieP0YEclPpOzp7LWQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200616_164101_872%2B%25281%2529.jpg)
Na Vero Ignatus.
Diwani aliyemaliza muda wake wa kata ya Tumbi wilayani Kibaha mkoa wa Pwani Hemed Mnkai Chanyika akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015-2020 ameeleza kuwa katika kipindi chake cha uongozi amefanikiwa kutatua changamoto mbalimbali za wananchi ikiwemo miundombinu ,elimu,Afya,maji
michezo na ardhi.
Ameeleza hayo Jana Kibaha kuwa katika kusimamia tatizo la ajira kwa vijana aliweza kutoa mikopo mbalimbali kwa vijana,ili waweze kujiajiri na hivyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-dwIpE_Wlqd4/XuNIhyic_II/AAAAAAACNEM/_hXoLYwtjfkVHtfqDVRRlCfPtI-mawsowCLcBGAsYHQ/s72-c/MBUNGE2.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ariyWCwqBYY/XueJmllh2vI/AAAAAAACNfs/2jm3cgb28UIEfRxy11-Y5DxJX793K4sAACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200615_174257.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-3-tMn9dIxv8/Xu7oiPcLLfI/AAAAAAACNxk/xygWFcGpoCcpKAPkfaNe5dEF2WsAiK-KACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE JIMBO LA CHALINZE 2015-2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-3-tMn9dIxv8/Xu7oiPcLLfI/AAAAAAACNxk/xygWFcGpoCcpKAPkfaNe5dEF2WsAiK-KACLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-0mjVARgO858/Xu7oqL7NIzI/AAAAAAACNxo/ir1qEbAGfwcMPbWc1gnG5JmmTzLdi_I-ACLcBGAsYHQ/s400/Screenshot_2020-06-20_232132.jpg)
Mwaka 1995 Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Gazeti lake la Serikali ilitangaza jimbo jipya
la Uchaguzi la Chalinze lenye Kata 15 katika Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Katika kipindi cha Miaka ishirini na mitano (25) toka kuanzish￾wa kwa jimbo hili la uchaguzi, tumeshuhudia maendeleo makubwa.
Pamoja na maendeleo yaliyopatikana katika kipindi hicho,...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-jMg4QSuBj5Q/XuYbQXlle4I/AAAAAAACNSQ/ZJ3PJtdfKjw2gguSy6HyreHEgcmekSvWQCLcBGAsYHQ/s72-c/1-6c9e2577d6.png)
5 years ago
CCM Blog17 May
MBUNGE ALMAS MAIGE WA TABORA KASKAZINI AFANYA MAKUBWA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 2015-2020
Jimbo la Tabora Kaskazini ni kati ya Majimbo 12 ya uchaguzi kwa Mkoa wa Tabora, lina Kata 19.
Kwa kuwa mambo mengi yaliyofanywa na Mbunge wa jimbo hilo Ndugu Almas Athuman Maige katika utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichompa ridhaa ya kugombea Ubunge na hatimaye kushinda kuwa Mwakilishi wa wana Tabora Kaskazini kwa nafasi ya Ubunge, yeye na timu yake wametumia mda wao kutengeneza au kuandika Taarifa ya utekelezaji huo katika kipindi cha miaka mitano, kuanzia Oktoba 2015...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-n-G_hE7QV8I/XucVCWmfiuI/AAAAAAACNeY/rt8-PqyI2fwfhXM80U3AA3gPZwkocjlYwCLcBGAsYHQ/s72-c/mlugo%2B1.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-tKm_fKrlxrk/XuZWqQGKreI/AAAAAAACNYE/JkK_Tcb91DQSClpUK4Litu4-L5nbYUXzgCLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot_2020-06-14_171946.jpg)
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE WA MBINGA MJINI SIXTUS MAPUNDA 2015-2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-tKm_fKrlxrk/XuZWqQGKreI/AAAAAAACNYE/JkK_Tcb91DQSClpUK4Litu4-L5nbYUXzgCLcBGAsYHQ/s400/Screenshot_2020-06-14_171946.jpg)
Baada ya mbunge huyo Mh. Sixtus Mapunda kukaribia kuhitimisha miaka yake ya Ubunge katika jimbo hilo, yeye na timu yake wametayarisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM sambamba na...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-U86T7URQ8e0/XuHXGDxyDmI/AAAAAAACM8E/f0Kf48ZkEM0zRAhh0XOsoQbfsNJ74z8lQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200611-WA0033.jpg)