Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana awalipua watendaji, viongozi

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewataka wabunge, madiwani na viongozi wa serikali za vijiji wenye utamaduni wa kuangalia mambo binafsi kwanza badala ya kuwatumikia wananchi kuacha mara moja tabia hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kinana awalipua viongozi UKAWA



Awaonya uchu wa madaraka utawamalizaNgome ya CHADEMA Karatu yagaragazwa
Na Mwandishi Wetu, Karatu
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema mwisho wa ndoa ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umekaribia.
Amesema muungano huo utabadilika jina na kuwa Ukiwa, ifikapo Oktoba, mwaka huu, wakati mgombea urais wa CCM pamoja na idadi kubwa ya wabunge wake watakapotangazwa washindi.
Alisema kelele nyingi zinazopigwa na viongozi wa UKAWA na mikakati lukuki wanayoizungumza katika...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana ataka watendaji wawajibike

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekosoa tabia ya watendaji wa serikali, kushindwa kuwajibika katika nafasi zao na kusukuma matatizo yote kwa Waziri Mkuu na Rais.

 

11 years ago

Habarileo

Kinana- Watendaji CCM tekelezeni Ilani

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana, amewaasa viongozi na watendaji wa chama hicho kutekeleza ilani kwa kuwa chama hicho hakiko tayari kupoteza imani kwa wananchi hasa katika kipindi kijacho cha uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana azidi kulia na watendaji wabovu

Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameanza ziara mkoani Pwani kwa kuendelea kupokea shutuma dhidi ya viongozi wa Serikali ambao ni wazito katika kutatua kero za wananchi.

 

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI WAASI, WAWASHAMBULIA WATENDAJI, VIONGOZI

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue
Takribani wiki moja baada ya Ikulu kukana Rais Jakaya Kikwete, kuagiza watumishi wa serikali kuchangishwa fedha na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na watumishi wengine wa serikali kupinga walimu kukatwa mishahara kuchangia ujenzi wa maabara za shule za sekondari nchini, baadhi ya wananchi mkoani Singida wameasi na kuwashambulia na kuwajeruhi viongozi wa serikali waliokuwa wakitekeleza mpango huo.

Wananchi hao wanadaiwa kuwashambulia na kuwajeruhi...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi Watendaji wa Serikali wakutana kujadili mifumo ya ufuatiliaji na tathmini

Mkutano wa faragha wa Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa umeandaliwa na ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi ikishirikiana na UONGOZI Institute yenye lengo kuu ya viongozi hawa kujadiliana kuhusu mada kuu ya Mifumo ya Ufuatiliaji na Tathmin, pamoja na maswala mbali mbali za kitaifa. Mkutano huu wa siku mbili ulifanyika tarehe 27-28 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.
“Napenda kuishukuru sana Taasisi ya Uongozi, na Mtendaji wake Mkuu, Prof. Joseph Semboja, kwa mchango wao mkubwa...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Iddi afunga mafunzo elekezi ya siku Tano ya Viongozi na watendaji wa CCM, Zanzibar

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif akikaribishwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Nd. Moh’d Omar Nyawenga kuyafunga Mafunzo elekezi ya siku 5 kwa Viongozi na watendaji wa CCM kuanzia ngazi ya Matawi hadi Mkoa Mjini yaliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Dolfin By Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.Katibu wa UWT Wilaya ya Mjini Bibi ASHA Mzee Khamis akizoa maazimio ya washiriki wa mafunzo elekezi ya Viongozi na watendaji wa CCM kuanzia ngazi ya Matawi hadi Mkoa Mjini mbele ya mgenzi...

 

5 years ago

CCM Blog

VIONGOZI, WATENDAJI WILAYANI UBUNGO WANOLEWA KUWAONGEZEA UWEZO KATIKA USIMAMIZI NA UENEDESHAJI SERIKALI ZA MITAA

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Dar es Salaam, Kisare Makori akifungua mafunzo elekezi kwa Wenyeviti na Watendaji wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa Kata na Wakuu wa Idara katika Wilaya hiyo, leo katika Ukumbi wa Little Flower, Mbezi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja na Mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic. KWA PICHA ZAIDI ZA MAFUNZO HAYO, TAFADHALI>> BOFYA HAPA


Na Bashir Nkoromo, Ubungo
Wenyeviti na Watendaji wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa Kata...

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZINAZOUNDA JUKWAA LA HAKI JINAI WAKUTANA MJINI BAGAMOYO KWA MKUTANO WA SIKU MBILI.

Habari katika Picha:Viongozi na Watendaji wakuu wa Taasisi zinazounda Jukwaa la  Haki Jinai wakiwa katika Picha ya pamoja,mara baada ya ufunguzi wa  Mkutano wa siku mbili. Mkutano huo umefunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Uendeshaji wa Mashtaka (DPP) Dr E.Feleshi.Pamoja na mambo mengine mkutano huo utaangalia Haki za Watoto walio katika Mgongano na Sheria za Jinai.Walio kaa Kwenye viti,wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) John C Minja, wa pili kushoto ni Mkrugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani