Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana awalipua viongozi UKAWA



Awaonya uchu wa madaraka utawamalizaNgome ya CHADEMA Karatu yagaragazwa
Na Mwandishi Wetu, Karatu
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema mwisho wa ndoa ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umekaribia.
Amesema muungano huo utabadilika jina na kuwa Ukiwa, ifikapo Oktoba, mwaka huu, wakati mgombea urais wa CCM pamoja na idadi kubwa ya wabunge wake watakapotangazwa washindi.
Alisema kelele nyingi zinazopigwa na viongozi wa UKAWA na mikakati lukuki wanayoizungumza katika...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kinana awalipua watendaji, viongozi

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewataka wabunge, madiwani na viongozi wa serikali za vijiji wenye utamaduni wa kuangalia mambo binafsi kwanza badala ya kuwatumikia wananchi kuacha mara moja tabia hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Mzindakaya awalipua Ukawa

Dk Chrisant MzindakayaMWANASIASA mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya ameutupia kombora Umoja wa Katiba ya Watanzania - nje ya Bunge Maalumu (Ukawa-nje) kwa kuzungumzia mjadala wa katiba nje ya Bunge Maalumu na kuita kitendo hicho kuwa ni uhaini wa kisiasa.

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU HAKAMATIKI KATIKA KUINADI ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI,AWALIPUA UKAWA

Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano nje kidogo na Mji wa Babati hii leo alipofika kwaajili ya Mkutano wa kampeni wa kuinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2015.Pia kuwanadi wagombea Udiwani na Ubunge kwa Babati Mjini.Kutoka Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Manyara Ndg.Ndekubali,Katikani ni Mwigulu Nchemba na Mwisho kulia ni Mh.Chambili ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Babati Mjini.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Babati hii leo,Katika hotuba yake amesisitiza Wananchi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kinana: Msiwajadili Warioba, Ukawa

Katika jitihada za kuliepusha Bunge la Katiba kupoteza mwelekeo, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wajumbe wake kuacha kumjadili mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba na wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) waliosusia vikao vya Bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kinana akerwa na viongozi wabovu

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema bado kuna viongozi na watendaji ambao hawatekelezi majukumu yao lakini hawachukuliwi hatua zinazostahili na mamlaka za juu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana awashukia viongozi goigoi

 Viongozi wanaotokana na Chama cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kuunda kamati kwa ajili ya kufuatilia makosa yanayofanywa na baadhi ya watendaji.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana: Msichague viongozi wezi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ametaka wananchi kutochagua viongozi wenye tabia ya wizi na dhuluma.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AENDELEA NA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SPLM




Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo aliwasili Arusha kwa lengo la kufanya mazungumzo na makundi matatu ya chama cha SPLM ya Sudani ya Kusini, mashauriano hayo yalilenga kukamilisha makubaliano baina ya makundi hasimu. 

Baada ya Mazungumzo Ndugu Kinana alisema ana matumaini ya kufikiwa makubaliano ya kukiunganisha chama cha SPLM katika siku chache zijazo 
Kutoka kushoto ni Balozi David Kapya,Abdulrahman Kinana,Mwenyekiti wa Mazungumzo Dk.John Samuel Malecela na Makamu Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana: Viongozi CCM wafitini, wabaguzi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekemea dhambi ya fitina na ubaguzi ndani ya chama hicho. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika ziara yake wilayani Mafia, Kinana alisema fitina, ubaguzi miongoni mwa viongozi, zimekuwa chanzo cha kuwavuruga watu badala ya kuwatafutia maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani