MWIGULU HAKAMATIKI KATIKA KUINADI ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI,AWALIPUA UKAWA
Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano nje kidogo na Mji wa Babati hii leo alipofika kwaajili ya Mkutano wa kampeni wa kuinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2015.Pia kuwanadi wagombea Udiwani na Ubunge kwa Babati Mjini.Kutoka Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Manyara Ndg.Ndekubali,Katikani ni Mwigulu Nchemba na Mwisho kulia ni Mh.Chambili ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Babati Mjini.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Babati hii leo,Katika hotuba yake amesisitiza Wananchi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo29 Aug
MAKAMU WA RAIS MTARAJIWA ALIPOWASILI IRAMBA KATA YA KYENGEGE KUNADI ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Bi.Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mshindi wa nafasi ya Ubunge- Viti...
5 years ago
CCM Blog14 Jun
5 years ago
CCM Blog10 years ago
Michuzi27 Feb
5 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa Hamasa ya maendeleo pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020 kabla ya kuanza kwa...
9 years ago
Vijimambo30 Aug
HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU
Hotuba ya Lowassa
Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015
Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu
Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.
Miaka zaidi ya hamsini ya...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar17 Sep
Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015.
Katika kampeni za uchaguzi mkuu wa October 2015, Mh. Seif Sharif Hamad aliombea wagombea zake kura za ndio wakiwemo wabunge, madiwani na wawakilishi wa Jibo la Ole, Pia Muheshimiwa alimuombea kura ndugu Edward Lowasa. Katika Sera […]
The post Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015. appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
MichuziUJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR
11 years ago
MichuziMama Kikwete katika sherehe za kutimiza miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani lindi