Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana: Viongozi CCM wafitini, wabaguzi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekemea dhambi ya fitina na ubaguzi ndani ya chama hicho. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika ziara yake wilayani Mafia, Kinana alisema fitina, ubaguzi miongoni mwa viongozi, zimekuwa chanzo cha kuwavuruga watu badala ya kuwatafutia maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

10 years ago

Dewji Blog

Kinana awasema ukweli viongozi wa CCM Mafia

 Umati wa wananchi wa Mafia wakimsikiliza mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia wananchi hao.

5

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Mafia ambapo aliwataka Viongozi wa CCM waache mkorogano badala yake wafanye shughuli za maendeleo kwanza.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mafia kwenye uwanja wa Mkunguni stendi ya Mabasi mjini Mafia.

Naibu Waziri Nishati Charles Kitwanga akihutubia...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AWAKOROMEA VIONGOZI WA CCM WANAOSABABISHA MKOROGANO


 Umati wa wananchi wa Mafia wakimsikiliza mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia wananchi hao.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Mafia ambapo aliwataka Viongozi wa CCM waache mkorogano badala yake wafanye shughuli za maendeleo kwanza.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mafia kwenye uwanja wa Mkunguni stendi ya Mabasi mjini Mafia.Naibu Waziri Nishati Charles Kitwanga akihutubia...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWATAKA VIONGOZI WA CCM KUTENDA HAKI NA KUACHA KUWABEBA WAGOMBEA WASIO NA SIFA


 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini Ali Makame akitoa salaam za ufunguzi wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye vya Skuli ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Wananchi wakifurahia mkutano wa Kinana.
 Mbunge wa Viti Maluum Kidawa Hamisi akitoa hotuba na elimu kwa waliohudhuria mkutano kwenye viwanja vya Skuli, Nungwi.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Nungwi wilaya ya Kaskazini A kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWATAKA WANANCHI KUWA MAKINI NA VIONGOZI WENYE UCHU WA MADARAKA.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia  sehemu ya wakazi wa Nungwi na Wafuasi wa CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Skuli,jimbo la Nungwi,wilaya ya Kaskazini A,mkoa wa Kaskazini Unguja.Kinana amewataka Wananchi hao kuwa makini na baadhi ya viongozi wenye tamaa ya madaraka kwa kuahidiwa mambo ambayo hayatekelezeki,pia amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi siku ikifika ya kupiga kura ya ndiyo kwa katiba inayopendekezwa,kwani imejaa mambo mengi na...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WETE-KASKAZINI PEMBA,AWATAKA VIONGOZI WA CUF KUTENDA HAKI KWA WANANCHI.

Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukikatiza mapema jioni ya leo katikati ya msitu ukielekea katika kijiji cha Mnarani -Makangale kuzungumza na wanachama wa chama hicho,micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisalimiana na baadhi ya Vijana wapatao 105 waliokuwa chama cha CUF na kuhamia CCM,katika kijiji cha Mnarani Makangale,ambapo alikwenda kushiriki ujenzi wa tawi lao liitwalo Maskani tuheshimiane.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akizungumza na...

 

11 years ago

GPL

TAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA

Mgana Izumbe Msindai – Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM wa Mikoa akitoa tamko hilo kwenye makao makuu ya Chama Chama Mapinduzi Ofisi ndogo Lumumba jijini Dar es salaam leo,kulia ni Haji Juma Haji – Makamu Mwenyekiti Wa Wenyeviti Mikoa na kushoto ni Lucas Ole Mukusi – Katibu wa Wenyeviti Mikoa. ................................................................................................................ Sisi...

 

11 years ago

Habarileo

RC awaonya wanasiasa wafitini

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bandera, amewaonya wanasiasa wakiwemo wa vyama vya upinzani wanaoendesha kampeni chafu zenye kuleta chuki kati ya Serikali na wananchi walioathirika na mafuriko katika vijiji vya Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa kuacha tabia hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wabaguzi wa Chelsea wapigwa marufuku

Mashabiki wanne wa kilabu ya Chelsea walioshtumiwa kwa kukataa kumrusu mtu mmoja mweusi kuingia katika treni ya Paris Metro wamepigwa marufuku kuhudhuria mechi mechi za soka kwa takriban miaka mitano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani