Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana: Msichague viongozi wezi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ametaka wananchi kutochagua viongozi wenye tabia ya wizi na dhuluma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Unyanyasaji wa kijinsia “Tuwatume wezi wawakamate wezi wenzao”

Kuna usemi wa wahenga usemao “mchawi mpe mwana alee”. Usemi huu una maana kwamba ili umbane na mtu unayehisi ni adui yako, kuwa naye karibu.

 

11 years ago

Dewji Blog

WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma

DSC07688

Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.

Na.Nathaniel Limu-Singida

WAZIRI  wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana awashukia viongozi goigoi

 Viongozi wanaotokana na Chama cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kuunda kamati kwa ajili ya kufuatilia makosa yanayofanywa na baadhi ya watendaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana awalipua watendaji, viongozi

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewataka wabunge, madiwani na viongozi wa serikali za vijiji wenye utamaduni wa kuangalia mambo binafsi kwanza badala ya kuwatumikia wananchi kuacha mara moja tabia hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kinana akerwa na viongozi wabovu

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema bado kuna viongozi na watendaji ambao hawatekelezi majukumu yao lakini hawachukuliwi hatua zinazostahili na mamlaka za juu.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kinana awalipua viongozi UKAWA



Awaonya uchu wa madaraka utawamalizaNgome ya CHADEMA Karatu yagaragazwa
Na Mwandishi Wetu, Karatu
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema mwisho wa ndoa ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umekaribia.
Amesema muungano huo utabadilika jina na kuwa Ukiwa, ifikapo Oktoba, mwaka huu, wakati mgombea urais wa CCM pamoja na idadi kubwa ya wabunge wake watakapotangazwa washindi.
Alisema kelele nyingi zinazopigwa na viongozi wa UKAWA na mikakati lukuki wanayoizungumza katika...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AENDELEA NA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SPLM




Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo aliwasili Arusha kwa lengo la kufanya mazungumzo na makundi matatu ya chama cha SPLM ya Sudani ya Kusini, mashauriano hayo yalilenga kukamilisha makubaliano baina ya makundi hasimu. 

Baada ya Mazungumzo Ndugu Kinana alisema ana matumaini ya kufikiwa makubaliano ya kukiunganisha chama cha SPLM katika siku chache zijazo 
Kutoka kushoto ni Balozi David Kapya,Abdulrahman Kinana,Mwenyekiti wa Mazungumzo Dk.John Samuel Malecela na Makamu Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Kinana awarushia kombora viongozi wa Chadema

kinanaNA ELIYA MBONEA, KARATU
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, ameanika ufisadi ulioko katika Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha, inayoongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Akihutubia wananchi katika Viwanja vya Mazingira mjini hapa jana, Kinana alisema viongozi wa halmashauri hiyo wameshindwa kuwaletea maendeleo wananchi, ingawa wamekuwa wakilaumu Serikali ya CCM kwamba haiwaletei maendeleo wananchi wake.
“Nyinyi mliochagua Chadema sijui...

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani