Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana ataka mahakama zitetee wanyonge

IMEELEZWA kuwa mahakama zimegeuzwa kuwa vichaka vya kuwakandamiza wanyonge badala ya kutoa haki. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana kwenye shamba la mahindi la Kwamnyefu baada ya kupewa malalamiko ya wananchi waliokosa maeneo ya kulima huku wawekezaji wanaomiliki mashamba ya mkonge wakishindwa kuyaendeleza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mkosamali ataka Pasaka isaidie wanyonge

MBUNGE wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCR-Mageuzi), amesema Tamasha la Pasaka ni moja ya matukio muhimu yanayoweza kuwajenga wananchi katika kusherehekea ufufuko wa Yesu Kristo na ukombozi wa mwanadamu. Mkosamali alisema...

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Hoseah ataka mahakama ya makosa ya rushwa pekee

hoseNa Pendo Fundisha, Mbeya

 

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, amesema kitendo cha mwajiri kupewa nguvu ya kushughulikia makosa ya jinai kwa watumishi wa umma, kimekuwa kikidhoofisha mapambano dhidi ya rushwa.

Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni mjini hapa, Dk. Hoseah, alisema uamuzi huo umekuwa ukidhalilisha dhana nzima ya uadilifu na uwajibikaji.

Alisema yeye binafsi hakubaliani na suala hilo, na kwamba ili kuondokana nalo, ni...

 

11 years ago

Habarileo

Kinana ataka watendaji wawajibike

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekosoa tabia ya watendaji wa serikali, kushindwa kuwajibika katika nafasi zao na kusukuma matatizo yote kwa Waziri Mkuu na Rais.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Mkuu ataka uamuzi wa Mahakama uheshimiwe Kiteto

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameagiza wote waliovamia eneo la Hifadhi ya Jamii ya Emborey ya Murtangos, kuondoka ili kuheshimu uamuzi wa mahakama ya rufani na akaagiza waliohusika na mauaji ya watu 15 kusakwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama kuamua kesi ya Kinana leo

 Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo inatarajiwa kutoa uamuzi, dhidi pingamizi zilizowasilishwa na upande wa mlalamikiwa kwa njia ya maandishi dhidi ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATAKA WATU WAWAJIBISHWE NCHINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akiongozana na Mbunge wa Jimbo la Nachingwea na Waziri wa Mambo ya Ndani Ndugu Mathias Chikawe (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nachingwea Ndugu Albert Mnari kuelekea kwenye shamba la ushirika Mkotokuyana  wilaya ya Lindi Vijijini tayari kwa kushiriki shughuli za kilimo. Kikundi cha Wakulima cha Umoja Rika wakiinua majembe juu kama ishara ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyefika kwenye shamba...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATAKA VIJANA WAPEWE FURSA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye uwanja wa Ruangwa Likangara tayari kuhutubia wakazi wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Wananchi wa Ruangwa wakionyesha furaha yao wakati wa kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM kwenye uwanja wa mkutano Ruangwa Likangara. Wananchi wa Ruangwa wakiwa na mabango yaliyobeba ujumbe wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kujenga na kukiimarisha chama,Katibu Mkuu wa CCM...

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana ataka vitambulisho vitumike kuvuka mipaka

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema hakuna haja kwa wananchi wanaoishi mipakani kutumia hati ya kusafiria, badala yake vitambulisho vingine vitumike kuvuka mipaka ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

 

11 years ago

Mtanzania

Kinana ataka CCM kuwa karibu na wafanyakazi

Abdulrahman Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

NA DEBORA SANJA, DODOMA

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema chama hicho kinatakiwa kuwa karibu na wafanyakazi na kutetea masilahi yao.

Kinana alitoa kauli hiyo mjini hapa jana katika hafla ya kukabidhiwa kadi ya uanachama kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Hotelini, Majumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU) iliyofanyika katika Ukumbi wa CCM Makao Makuu.

Alisema mara nyingi wafanyakazi wamekuwa wakijitetea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani