Dk. Hoseah ataka mahakama ya makosa ya rushwa pekee
Na Pendo Fundisha, Mbeya
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, amesema kitendo cha mwajiri kupewa nguvu ya kushughulikia makosa ya jinai kwa watumishi wa umma, kimekuwa kikidhoofisha mapambano dhidi ya rushwa.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni mjini hapa, Dk. Hoseah, alisema uamuzi huo umekuwa ukidhalilisha dhana nzima ya uadilifu na uwajibikaji.
Alisema yeye binafsi hakubaliani na suala hilo, na kwamba ili kuondokana nalo, ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Dk Hoseah akiri Takukuru ‘kunuka’ rushwa
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Dk Hoseah achaguliwa kuongoza mapambano ya rushwa A.Mashariki
9 years ago
Dewji Blog06 Oct
Mkurugenzi TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah asema miaka 10 ya JK imepambana na rushwa kwa kiasi kikubwa
Amesema, ongezeko hilo la kesi kubwa limetokana na...
9 years ago
VijimamboMKURUGENZI TAKUKURU DKT EDWARD HOSEAH ASEMA MIAKA KUMI YA JK IMEPAMBANA NA RUSHWA KWA KIASI KIKUBWA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-KN_5YQb4C-o/XvX1bHboxBI/AAAAAAALvkg/tTwNozKEDbwD6c3n_651oLxuOUEcb8QVACLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Rushwa inadhalilisha Mahakama — Jaji Stella
JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Stella Mugasha, amesema vitendo vya rushwa vinaidhalilisha Mahakama na kuwafanya wananchi kuamini kuwa haki inanunuliwa. Kutokaana na hali hiyo, Jaji Stella amewataka...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-E9bWH5WByuk/VbcjO-PyQ4I/AAAAAAAHsI8/SGCABMyBU9A/s72-c/Mahakama.jpg)
MAHAKAMA YAKANA KUWEPO KWA RUSHWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-E9bWH5WByuk/VbcjO-PyQ4I/AAAAAAAHsI8/SGCABMyBU9A/s640/Mahakama.jpg)
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imewataka wananchi wenye malalamiko kuhusu vitendo vya rushwa mahakamani kutoa ushirikiano ili kuweza kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo.
Hayo yalisemwa katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo jijini Dar es salaam na Afisa Habari Mary Gwera wa Mahakama hiyo kufuatia gazeti moja la hapa nchini la Julai 21 mwaka huu kupitia makala yenye kichwa cha habari “Mtandao wa rushwa Mahakamani huu hapa” .
Taarifa hiyo imeeleza kuwa, baada ya...
10 years ago
Habarileo06 Sep
Wapendekeza mahakama kumulikwa kwa rushwa
BAADHI wa wajumbe walio wachache wa kamati namba tano wamependekeza kuwapo kwa chombo maalumu cha kuweza kuangalia utendaji wa mahakama ambayo inalalamikiwa na wananchi wengi kuwa imeshamiri kwa rushwa.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-x5I_yby-kT4/VIwyElo2ypI/AAAAAAAG2-g/WJsssf_kzYE/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
TANZANIA YAISHAURI MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAKOSA YA JINAI (ICC) KUBORESHA UHUSIANO WAKE NA BARA LA AFRIKA