Rushwa inadhalilisha Mahakama — Jaji Stella
JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Stella Mugasha, amesema vitendo vya rushwa vinaidhalilisha Mahakama na kuwafanya wananchi kuamini kuwa haki inanunuliwa. Kutokaana na hali hiyo, Jaji Stella amewataka...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Jaji Mkuu: Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pW5TutPlQ5g/XupuKetXYrI/AAAAAAALuSs/NtZxcHTfo04hyCIBb77Cd3R_Zwa2u9DnQCLcBGAsYHQ/s72-c/JAJI%2BMKUU.jpg)
JAJI MKUU AVITAKA VYOMBO VYA MAHAKAMA KUPAMBANA NA RUSHWA ILI KUEPUSHA UCHELEWESHAJI WA HAKI
MAHAMAMA nchini zimetakiwa kupambana na vitendo vya rushwa ili kuzuia ucheleweshaji wa haki unaofanywa kwenye kesi na mashauri mbalimbali yanayofunguliwa.
Wito huo umetolewa jijini Dodoma na Jaji Mkuu nchini, Prof Ibrahim Juma alipokuwa akifungua kongamano la wadau kujadili rushwa katika mfumo wa utoaji haki nchini.
Jaji Mkuu amesema amesema vitendo vya rushwa hushamiri zaidi katika taasisi zinazo chelewesha haki na hivyo kutaka hatua zaidi za mapambano dhidi ya rushwa...
11 years ago
Michuzi20 Jul
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rNPZS60ZMWQ/VcJ3rdKOB2I/AAAAAAAHubQ/ANEbD-UyiTo/s72-c/j18%2B%25281%2529.jpg)
JK aapisha jaji mmoja wa mahakama ya rufani na 13 wa mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-rNPZS60ZMWQ/VcJ3rdKOB2I/AAAAAAAHubQ/ANEbD-UyiTo/s640/j18%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
Habarileo06 Jul
Jaji Ramadhani asema rushwa ni adui yake
JAJI mstaafu Augustine Ramadhani ambaye ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Urais mwaka huu amesema kamwe hatathubutu wala kujaribu kutoa au kupokea rushwa kwa kuwa ni mwiko kwake na kwenye chama chake.
10 years ago
Habarileo06 Sep
Wapendekeza mahakama kumulikwa kwa rushwa
BAADHI wa wajumbe walio wachache wa kamati namba tano wamependekeza kuwapo kwa chombo maalumu cha kuweza kuangalia utendaji wa mahakama ambayo inalalamikiwa na wananchi wengi kuwa imeshamiri kwa rushwa.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-E9bWH5WByuk/VbcjO-PyQ4I/AAAAAAAHsI8/SGCABMyBU9A/s72-c/Mahakama.jpg)
MAHAKAMA YAKANA KUWEPO KWA RUSHWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-E9bWH5WByuk/VbcjO-PyQ4I/AAAAAAAHsI8/SGCABMyBU9A/s640/Mahakama.jpg)
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imewataka wananchi wenye malalamiko kuhusu vitendo vya rushwa mahakamani kutoa ushirikiano ili kuweza kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo.
Hayo yalisemwa katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo jijini Dar es salaam na Afisa Habari Mary Gwera wa Mahakama hiyo kufuatia gazeti moja la hapa nchini la Julai 21 mwaka huu kupitia makala yenye kichwa cha habari “Mtandao wa rushwa Mahakamani huu hapa” .
Taarifa hiyo imeeleza kuwa, baada ya...
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Dk. Hoseah ataka mahakama ya makosa ya rushwa pekee
Na Pendo Fundisha, Mbeya
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, amesema kitendo cha mwajiri kupewa nguvu ya kushughulikia makosa ya jinai kwa watumishi wa umma, kimekuwa kikidhoofisha mapambano dhidi ya rushwa.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni mjini hapa, Dk. Hoseah, alisema uamuzi huo umekuwa ukidhalilisha dhana nzima ya uadilifu na uwajibikaji.
Alisema yeye binafsi hakubaliani na suala hilo, na kwamba ili kuondokana nalo, ni...
10 years ago
Habarileo04 Jul
Jaji Mkuu awaasa watumishi mahakama
JAJI Mkuu wa Tanzania, Othman Chande amewataka watumishi wa mahakama nchini kuwa waadilifu wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao.