Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Mkuu awaasa watumishi mahakama

Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman ChandeJAJI Mkuu wa Tanzania, Othman Chande amewataka watumishi wa mahakama nchini kuwa waadilifu wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Jaji mkuu awaasa mawakili wapya na wa zamani

Jaji mkuu wa Tanzania Ndugu Mohamed Othman Chande leo amewataka mawakili wapya kufanya kazi zao za Uwakili kwa kuzingatia maadili ya taaluma ya uwakili.  Jaji Mkuu aliyasema hayo wakati wa Sherehe ya 50 ya kuanzia mwaka 1986 ya kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam
 Jaji Mkuu pia amewahimiza Mawakili wapya hao kujiendeleza kitaaluma kwa sababu kuwa wakili sio mwisho wa taaluma, na pia amewataka Mawakili wa zamani kuwapokea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jaji Kiongozi atoa somo kwa watumishi wa mahakama, vyama vya waajiri na waajiriwa

Mahakama - 1

Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akifungua mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo unalenga kuangalia na kutafuta majibu ya changamoto mbalimbali zinazohusu maslahi ya wafanyakazi na mashauri yanayopelekwa mahakama Kuu Divisheni ya Kazi nchini.

Mahakama - 5

Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua...

 

9 years ago

Michuzi

JAJI MAKURU AFUNGUA MAFUNZO MAALUM YA HUDUMA KWA WATEJA KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA.

 Watumishi wa Kada mbalimbali wa Mahakama ya Tanzania waliohudhuria mafunzo ya Huduma kwa wateja ili kuweza kuwajengea ujuzi na ufanisi katika kazi mahakamani. Mhe. Jaji Crescencia Makuru, Jaji Mfawidhi Kanda ya Dodoma, akifungua rasmi mafunzo maalumu ya Huduma kwa Wateja kwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania, leo mkoani Dodoma. Mhe. Jaji Crescencia Makuru, Jaji Mfawidhi Kanda ya Dodoma, (aliyeketi wa pili toka kushoto), Nurdin Ndimbe, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Mahakama ya Tanzania, (wa...

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Mkuu ashutumu kuchomwa Mahakama

MAHAKAMA nne za Mwanzo nchini zimechomwa moto katika matukio tofauti kwa kipindi cha mwaka juzi hadi mwaka huu jambo lililosababisha wananchi kukosa huduma na kuchelewesha upatikanaji wa haki. Jaji Mkuu Othman Chande alisema hayo hivi karibuni wakati akizungumzia siku ya Sheria dunia itakayofanyika kesho kutwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Mkuu aonya wavunja amri za Mahakama

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amewaonya watu wanaodharau na kuvunja kwa makusudi amri halali za Mahakama kwamba watakabiliwa na vifungo wakibainika kutenda kosa hilo. Alisema ikiwa Mahakama itatoa...

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MKUU ZANZIBAR ATEMBELEA MAHAKAMA PEMBA

JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wa pili kulia akiangalia matengenezo ya jengo la mahakama ya Mkoa Chakechake wa mwanzo kulia ni Naibu mrajisi wa mahakama kuu Zanzibar Mhe, Ali Ameir, jengo ambalo linafanyiwa matengenezo makubwa hivi,MFANYAKAZI wa mahakama ya mwanzo Kengeja Mgeni Abdalla akielezea matatizo yanayowakabili katika mahakama yao, mbele ya Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu wakati alipotembelea mahakama hiyo kujua matatizo yao yanayowakabiliHAKIMU wa...

 

5 years ago

Michuzi

UTENDAJI KAZI WA MAHAKAMA YA TANZANIA WAMFURAHISHA JAJI MKUU WA ETHIOPIA

Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu (aliyevaa kitenge) akipokelewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi, Mhe. Agnes Mchome wa Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni, baada ya kuwasili leo katika Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni na Mahakama ya Mwanzo Kigamboni iliyopo jijini Dar es Salaam.
Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu (kushoto) akitembelea Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni iliyopo jijini Dar es Salaam, ambapo alijifunza kuhusu ujenzi wa Mahakama hiyo kwa kutumia gharama...

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu: Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema baadhi ya Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa kutokana na watendaji wake kuendekeza vitendo hivyo na kuwakosesha haki wananchi.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA HAIWEZI KUWA HURU BILA YA UWAJIBIKAJI NA MAADILI: JAJI MKUU

 JAJI Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akizungumza na  Majaji Wafawidhi wa Makama Kuu ya Tanzania kutoka kanda zote 16 nchini pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati za maadili walikutana kwa siku moja jijini Dodoma.Majaji Wafawidhi wa Makama Kuu ya Tanzania kutoka kanda zote 16 nchini pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati za maadili walikutana kwa siku moja jijini Dodoma.
Na Lydia Churi-Mahakama, Dodoma
JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema uhuru wa Mahakama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani