Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Mkuu ashutumu kuchomwa Mahakama

MAHAKAMA nne za Mwanzo nchini zimechomwa moto katika matukio tofauti kwa kipindi cha mwaka juzi hadi mwaka huu jambo lililosababisha wananchi kukosa huduma na kuchelewesha upatikanaji wa haki. Jaji Mkuu Othman Chande alisema hayo hivi karibuni wakati akizungumzia siku ya Sheria dunia itakayofanyika kesho kutwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Jaji Mkuu awaasa watumishi mahakama

Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman ChandeJAJI Mkuu wa Tanzania, Othman Chande amewataka watumishi wa mahakama nchini kuwa waadilifu wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao.

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MKUU ZANZIBAR ATEMBELEA MAHAKAMA PEMBA

JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wa pili kulia akiangalia matengenezo ya jengo la mahakama ya Mkoa Chakechake wa mwanzo kulia ni Naibu mrajisi wa mahakama kuu Zanzibar Mhe, Ali Ameir, jengo ambalo linafanyiwa matengenezo makubwa hivi,MFANYAKAZI wa mahakama ya mwanzo Kengeja Mgeni Abdalla akielezea matatizo yanayowakabili katika mahakama yao, mbele ya Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu wakati alipotembelea mahakama hiyo kujua matatizo yao yanayowakabiliHAKIMU wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Mkuu aonya wavunja amri za Mahakama

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amewaonya watu wanaodharau na kuvunja kwa makusudi amri halali za Mahakama kwamba watakabiliwa na vifungo wakibainika kutenda kosa hilo. Alisema ikiwa Mahakama itatoa...

 

5 years ago

Michuzi

UTENDAJI KAZI WA MAHAKAMA YA TANZANIA WAMFURAHISHA JAJI MKUU WA ETHIOPIA

Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu (aliyevaa kitenge) akipokelewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi, Mhe. Agnes Mchome wa Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni, baada ya kuwasili leo katika Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni na Mahakama ya Mwanzo Kigamboni iliyopo jijini Dar es Salaam.
Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu (kushoto) akitembelea Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni iliyopo jijini Dar es Salaam, ambapo alijifunza kuhusu ujenzi wa Mahakama hiyo kwa kutumia gharama...

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu: Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema baadhi ya Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa kutokana na watendaji wake kuendekeza vitendo hivyo na kuwakosesha haki wananchi.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA HAIWEZI KUWA HURU BILA YA UWAJIBIKAJI NA MAADILI: JAJI MKUU

 JAJI Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akizungumza na  Majaji Wafawidhi wa Makama Kuu ya Tanzania kutoka kanda zote 16 nchini pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati za maadili walikutana kwa siku moja jijini Dodoma.Majaji Wafawidhi wa Makama Kuu ya Tanzania kutoka kanda zote 16 nchini pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati za maadili walikutana kwa siku moja jijini Dodoma.
Na Lydia Churi-Mahakama, Dodoma
JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema uhuru wa Mahakama...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AZUNGUMZA NA MGOMBEA WA NAFASI YA JAJI MAHAKAMA YA ICC

 Jaji Chang-ho Chung akimweleza jambo Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule akizungumza na Jaji Chang-ho Chung,  Mgombea wa Nafasi ya Jaji katika Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kutoka Jamhuri ya Korea ambaye alimtembelea Ofisini kweke tarehe 11 Julai, 2014. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule akizungumza na Jaji Chang-ho Chung,  Mgombea wa Nafasi ya Jaji katika Mahakama ya Kimataifa ya...

 

5 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AVITAKA VYOMBO VYA MAHAKAMA KUPAMBANA NA RUSHWA ILI KUEPUSHA UCHELEWESHAJI WA HAKI

Charles James, Michuzi TV

MAHAMAMA nchini zimetakiwa kupambana na vitendo vya rushwa ili kuzuia ucheleweshaji wa haki unaofanywa kwenye kesi na mashauri mbalimbali yanayofunguliwa.

Wito huo umetolewa jijini Dodoma na Jaji Mkuu nchini, Prof Ibrahim Juma alipokuwa akifungua kongamano la wadau kujadili rushwa katika mfumo wa utoaji haki nchini.

Jaji Mkuu amesema amesema vitendo vya rushwa hushamiri zaidi katika taasisi zinazo chelewesha haki na hivyo kutaka hatua zaidi za mapambano dhidi ya rushwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande atoa somo kwa Waandishi wa Habari za Mahakama

Mahakama -1

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akitoa ufafanuzi kwa wanabari (hawapo pichani) kuhusu uandishi bora wa habari za Mahakama wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa Habari za Mahakama jana jijini Dar es salaam.

Mahakama -2

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande (kushoto) na Meneja wa Maadili wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Allan Lawa (kulia) wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari za Mahakama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani