Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAKAMA HAIWEZI KUWA HURU BILA YA UWAJIBIKAJI NA MAADILI: JAJI MKUU

 JAJI Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akizungumza na  Majaji Wafawidhi wa Makama Kuu ya Tanzania kutoka kanda zote 16 nchini pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati za maadili walikutana kwa siku moja jijini Dodoma.Majaji Wafawidhi wa Makama Kuu ya Tanzania kutoka kanda zote 16 nchini pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati za maadili walikutana kwa siku moja jijini Dodoma.
Na Lydia Churi-Mahakama, Dodoma
JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema uhuru wa Mahakama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAWAKILI ZINGATIENI MAADILI YA TAALUMA YA SHERIA – JAJI MKUU

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande amewataka Mawakili kote nchini kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma ya Sheria na kwamba wasisite kuwaeleza ukweli wateja wao wanaopeleka mashauri Mahakamani ili kuepuka kupoteza muda na gharama katika masuala yanayoweza kupatiwa ufumbuzi nje ya Mahakama.  Akizungumza na Mawakili wapya 104 waliohitimu Shule ya Sheria kwa mwaka 2015 wakati wa hafla ya 53 ya kuwapokea na kuwaapisha iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee leo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mawakili zingatieni maadili ya taaluma ya Sheria-Jaji Mkuu Mh. Othman Chande!!

Picha na 3

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akizungumza na Mawakili 104 walioapishwa  jana Desemba 15, jijini Dar es salaam. Mhe. Chande amewataka Mawakili hao kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma yao.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande amewataka Mawakili kote nchini kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma ya Sheria na kwamba wasisite kuwaeleza ukweli wateja wao wanaopeleka mashauri Mahakamani ili kuepuka kupoteza muda...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU POLISI KUKAMATA WANANCHI, BODABODA BILA KUFUATA UTARATIBU, AAGIZA KILA OPERESHENI MKUU WA WILAYA APEWE TAARIFA, ASISITIZA UCHAGUZI MKUU WA HURU NA HAKI 2020

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Kikoa cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, wakati alipofika Wilayani humo kwa ziara ya kikazi. Simbachawene amepiga marufuku ukamataji wa wananchi, bodaboda pamoja na kufanya operesheni ya aina yoyote kwa kukurupuka bila kufuata utaratibu, hali inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani badala ya kujenga amani.. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Mkuu ashutumu kuchomwa Mahakama

MAHAKAMA nne za Mwanzo nchini zimechomwa moto katika matukio tofauti kwa kipindi cha mwaka juzi hadi mwaka huu jambo lililosababisha wananchi kukosa huduma na kuchelewesha upatikanaji wa haki. Jaji Mkuu Othman Chande alisema hayo hivi karibuni wakati akizungumzia siku ya Sheria dunia itakayofanyika kesho kutwa.

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Mkuu awaasa watumishi mahakama

Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman ChandeJAJI Mkuu wa Tanzania, Othman Chande amewataka watumishi wa mahakama nchini kuwa waadilifu wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao.

 

10 years ago

Vijimambo

BAN KI MOON AMTEUA JAJI MKUU OTHMAN CHANDE MOHAMMED KUONGOZA JOPO HURU

Na Mwandishi Maalum,  New York

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban  Ki Moon  amemteua Jaji Mkuu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Mohamed Chande Othman  kuongoza jopo  huru la wataalam watakaopitia taarifa mpya  kuhusu kifo cha   Bw. Dag  Hammarskjold ambaye  aliwahi kuwa   Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

“ Katibu Mkuu anayofuraha ya  kutangaza kwamba amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa   jopo huru la wataalamu. Bw.  Mohamed Chande Othman kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Mkuu aonya wavunja amri za Mahakama

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amewaonya watu wanaodharau na kuvunja kwa makusudi amri halali za Mahakama kwamba watakabiliwa na vifungo wakibainika kutenda kosa hilo. Alisema ikiwa Mahakama itatoa...

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MKUU ZANZIBAR ATEMBELEA MAHAKAMA PEMBA

JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wa pili kulia akiangalia matengenezo ya jengo la mahakama ya Mkoa Chakechake wa mwanzo kulia ni Naibu mrajisi wa mahakama kuu Zanzibar Mhe, Ali Ameir, jengo ambalo linafanyiwa matengenezo makubwa hivi,MFANYAKAZI wa mahakama ya mwanzo Kengeja Mgeni Abdalla akielezea matatizo yanayowakabili katika mahakama yao, mbele ya Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu wakati alipotembelea mahakama hiyo kujua matatizo yao yanayowakabiliHAKIMU wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani