Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI MKUU AVITAKA VYOMBO VYA MAHAKAMA KUPAMBANA NA RUSHWA ILI KUEPUSHA UCHELEWESHAJI WA HAKI

Charles James, Michuzi TV

MAHAMAMA nchini zimetakiwa kupambana na vitendo vya rushwa ili kuzuia ucheleweshaji wa haki unaofanywa kwenye kesi na mashauri mbalimbali yanayofunguliwa.

Wito huo umetolewa jijini Dodoma na Jaji Mkuu nchini, Prof Ibrahim Juma alipokuwa akifungua kongamano la wadau kujadili rushwa katika mfumo wa utoaji haki nchini.

Jaji Mkuu amesema amesema vitendo vya rushwa hushamiri zaidi katika taasisi zinazo chelewesha haki na hivyo kutaka hatua zaidi za mapambano dhidi ya rushwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu: Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema baadhi ya Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa kutokana na watendaji wake kuendekeza vitendo hivyo na kuwakosesha haki wananchi.

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI REDIO 5 AVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUANDIKA NA KUANDAA VIPINDI VYA KILIMO

IMG_0085Mkurugenzi wa Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha  Bw Robert Francis  akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kufanya hafla fupi iliyofanyika mjengoni kwao ,ya kuwapongeza kwa kushika nafasi ya kwanza katika sekta ya mawasiliano na habari kwa ukanda wa kaskazini maonyesho ya nane nane, Pamoja na  David Rwenyagira aliyepata Tuzo za Tanapa hivi karibuniIMG_0073Mkurugenzi wa Tan Communication Media  inayo...

 

11 years ago

Habarileo

RC amlalamikia Jaji Mkuu ucheleweshaji kesi za ardhi

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amemweleza Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, kuhusu ugumu wa utekelezaji wa baadhi ya uamuzi, unaotolewa na Mahakama katika utatuzi wa migogoro ya ardhi baina ya makundi mbalimbali mkoani humo.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MWIGULU AVITAKA VYOMBO VYA SHERIA NCHINI KUTOTUMIKA VIBAYA


 Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Mwigulu Nchemba akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua kikao cha kamati za kuratibu msaada wa kisheria na ukaguzi wa watoa huduma na msaada wa kisheria mkoani Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela. Shehe wa Mkoa wa Tanga Juma Luwuchu akizungumza wakati wa kikao hicho. Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI PIA ATEMBELEA OFISI YA TUME ZA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu George Masaju akisisitiza jambo mbele ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Wahariri wa vyombo vya habari ulikuwa na lengo la kuwapa fursa pana wahariri kuuliza maswali mbalimbali kuhusu ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda(katikati) na Mhariri wa gazeti la Jamhuri Manyerere Jackton....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rushwa inadhalilisha Mahakama — Jaji Stella

JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Stella Mugasha, amesema vitendo vya rushwa vinaidhalilisha Mahakama na kuwafanya wananchi kuamini kuwa haki inanunuliwa. Kutokaana na hali hiyo, Jaji Stella amewataka...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi unavyoweza kufanikiwa binafsi kujitenga ili kuepusha maambukizi.

Kuanzia kuagiza chakula hadi namna unavyoweza kuishi na familia, hivi ndivyo unavyoweza kuepuka kusambaza virusi vya Corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani