Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC amlalamikia Jaji Mkuu ucheleweshaji kesi za ardhi

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amemweleza Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, kuhusu ugumu wa utekelezaji wa baadhi ya uamuzi, unaotolewa na Mahakama katika utatuzi wa migogoro ya ardhi baina ya makundi mbalimbali mkoani humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AVITAKA VYOMBO VYA MAHAKAMA KUPAMBANA NA RUSHWA ILI KUEPUSHA UCHELEWESHAJI WA HAKI

Charles James, Michuzi TV

MAHAMAMA nchini zimetakiwa kupambana na vitendo vya rushwa ili kuzuia ucheleweshaji wa haki unaofanywa kwenye kesi na mashauri mbalimbali yanayofunguliwa.

Wito huo umetolewa jijini Dodoma na Jaji Mkuu nchini, Prof Ibrahim Juma alipokuwa akifungua kongamano la wadau kujadili rushwa katika mfumo wa utoaji haki nchini.

Jaji Mkuu amesema amesema vitendo vya rushwa hushamiri zaidi katika taasisi zinazo chelewesha haki na hivyo kutaka hatua zaidi za mapambano dhidi ya rushwa...

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Mkuu aagiza umakini nyaraka za ardhi

MAHAKIMU kisiwani Pemba wametakiwa kuwa makini katika utekelezaji wa majukumu yao ikiwemo kuangalia kwa makini nyaraka za ardhi ambapo baadhi ya watu wanaonesha hati za umiliki wa mashamba ambazo zilifutwa mara baada ya Mapinduzi ya mwaka 1964.

 

5 years ago

Michuzi

JAJI MKUU- AWATAKA MAHAKIMU KUWA TAYARI KUSIKILIZA MASHAURI YA ARDHI

Na Magreth Kinabo- MahakamaJAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Mahakimu kuwa   na utayari wa kuanza kusikiliza mashauri yanayohusu ardhi ili kutatua changamoto na malalamiko yaliyojitokeza kwenye eneo hilo kupitia Mabaraza ya Ardhi hali iliyosababisha suala hilo kwenda Serikalini.
Akizungumza leo mara baada ya   kumuapisha Hakimu Mkazi, Mhe. Olivia Towilo ofisini kwake, iliyopo Mahakama ya Rufani Tanzania, Jijini Dar es Salaam. Jaji Mkuu alisema Mahakama imekuwa ikifanya...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu Chande awaonya mawakili kuchelewesha kesi

Katika kuhakikisha kuwa Mahakama inafikia lengo lake la kupunguza msongamano wa kesi mahakamani, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman amewatahadharisha mawakili kuhusu ucheleweshaji wa kesi pasipo sababu za msingi.

 

9 years ago

Michuzi

Jaji mkuu wa Tanzania akutana na watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

 Jaji mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman (wa tatu kutoka kulia) katika picha ya pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi walipomtembelea ofisini kwake hivi karibuni, Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Alphayo Kidata akifuatiwa na Subira Sinda Msajili wa Hati. Nyuma ya Katibu Mkuu ni David Mushendwa Kamishna wa ardhi Msaidizi Sheria, Blasia Kibano (Wa kwanza kulia) aliyekuwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria pamoja na Juma Lughela.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu aitaka dola ijipange kesi za mauaji ya albino

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman amevitaka vyombo vya dola vinavyohusika na uhalifu, kujipanga kikamilifu kushughulikia kesi za mauaji na ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi.

 

10 years ago

Michuzi

KESI ZA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI ZITAPEWA KIPAUMBELE - JAJI MKUU

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
Jaji Mkuu Nchini Othman Chande amesema kesi za mauaji kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)zinatakiwa kufanywa kwa ushirikiano katika pande zote ikiwemo mashahidi kujitokeza  kwa wakati kwa watuhumiwa wa mauji hayo.
Jaji Chande ameyasema hayo wakati wa hafla ya kuapishwa Manaibu wa Usajili wa Mahakama Kuu leo jijini,Dar es Salaam,amesema watu wenye ulemavu wa ngozi ni watanzania wenzetu na hakuna anayependa wanavyofanyiwa ukatili huo.
Chande amesema...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU, WIZARA YA ARDHI AFANYA JITIHADA KUBORESHA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA YA WILAYA

Katibu Mkuu wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Alphayo J.Kidata, amefanya ziara katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya na kufanya maboresho, pamoja na kuahidi maboresho zaidi. Mhe. Kidata amefanya ziara hiyo ya ghafla katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya za Kinondoni na Ilala ili kubaini uendeshaji wa kazi katika Mabaraza hayo. Akisomewa ripoti fupi na mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Kinondoni, Bw. Yose Mlyambina pamoja na mambo mengine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani