Jaji Mkuu aitaka dola ijipange kesi za mauaji ya albino
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman amevitaka vyombo vya dola vinavyohusika na uhalifu, kujipanga kikamilifu kushughulikia kesi za mauaji na ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Sep
‘Kesi za mauaji ya albino ziharakishwe’
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Kesi za albino kupewa umuhimu-Jaji Chande
NA FURAHA OMARY
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohammed Chande, amesema mahakama itazipa kipaumbele kesi za mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albinism) na mauaji ya vikongwe si tu kwa kiwango cha Mahakama Kuu, bali hadi Mahakama ya Rufani.
Amesema mauaji ya watu hao yanagusa kila Mtanzania na ni uhalifu wa hali ya juu na pia kuvunja haki za watu wengine.
Jaji Mkuu Chande aliyasema hayo jana mjini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya Jaji Kiongozi Shaaban Lila, kuwaapisha manaibu wasajili 43.
“Mauaji...
10 years ago
StarTV27 Feb
Kesi ya mauaji ya Albino yasikiliwa Geita.
Na Salma Mrisho,
Geita.
Kesi ya mauaji ya mtu mwenye ulemavu wa ngozi Zawadi Magindu aliyedaiwa kuuawa kwa kukatwa miguu na mkono mmoja katika kijiji cha Nyamaruru wilayani Geita mwaka 2008 imesikilizwa kwa siku tatu kwenye mahakama kuu ya Mkoa wa Geita.
Kesi hiyo namba 43 ya mwaka 2009 inawahusisha watuhumiwa wanne ambao wanadaiwa kushirikiana katika zoezi la mauaji hayo.
Tukio la kuuawa kwa Zawadi limetokea tarehe 11 Machi mwaka 2008 majira ya usiku katika kijiji cha Nyamaruru.
Kesi hiyo...
11 years ago
Habarileo16 Jul
Jaji Kaduri ajitoa kesi ya mauaji ya Profesa Jwani Mwaikusa
JAJI Lawrence Kaduri wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya watu watatu akiwemo aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha Sheria, Profesa Jwani Mwaikusa.
10 years ago
Michuzi11 May
KESI YA MAUAJI YA ALBINO AARON NONGO YAANZA KUSIKILIZWA TENA
KESI ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino) imeanza kusikilizwa tena leo hii kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya kusimama kwa miezi takriban mitano.
Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014 liko mbele ya Jaji Robert Makaramba, ambaye ndiyo kwanza ameanza kulisikiliza baada ya jaji wa awali, Ashery Sumari, kupewa uhamisho.
Washtakiwa katika kesi hiyo walikuwa watano, lakini leo hii mahakama imearifiwa kwamba mmoja – Paulo Budeba Genji maarufu kama...
11 years ago
Habarileo10 Mar
RC amlalamikia Jaji Mkuu ucheleweshaji kesi za ardhi
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amemweleza Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, kuhusu ugumu wa utekelezaji wa baadhi ya uamuzi, unaotolewa na Mahakama katika utatuzi wa migogoro ya ardhi baina ya makundi mbalimbali mkoani humo.
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Jaji Mkuu Chande awaonya mawakili kuchelewesha kesi
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5F3qbw_rGG4/VQBUgU_P-cI/AAAAAAAHJlI/2d_5lJRZo5w/s72-c/DSC_0225.jpg)
KESI ZA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI ZITAPEWA KIPAUMBELE - JAJI MKUU
![](http://3.bp.blogspot.com/-5F3qbw_rGG4/VQBUgU_P-cI/AAAAAAAHJlI/2d_5lJRZo5w/s1600/DSC_0225.jpg)
Jaji Mkuu Nchini Othman Chande amesema kesi za mauaji kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)zinatakiwa kufanywa kwa ushirikiano katika pande zote ikiwemo mashahidi kujitokeza kwa wakati kwa watuhumiwa wa mauji hayo.
Jaji Chande ameyasema hayo wakati wa hafla ya kuapishwa Manaibu wa Usajili wa Mahakama Kuu leo jijini,Dar es Salaam,amesema watu wenye ulemavu wa ngozi ni watanzania wenzetu na hakuna anayependa wanavyofanyiwa ukatili huo.
Chande amesema...
10 years ago
Mwananchi07 Mar
MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa