‘Kesi za mauaji ya albino ziharakishwe’
Wadau wa haki za binadamu wamezitaka Mahakama nchini kufanya kazi kwa haki na kuendesha kesi zinazohusiana na mashambulio ya watu wenye ulemavu wa ngozi kwa haraka ili kutoa funzo kwa wengine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV27 Feb
Kesi ya mauaji ya Albino yasikiliwa Geita.
Na Salma Mrisho,
Geita.
Kesi ya mauaji ya mtu mwenye ulemavu wa ngozi Zawadi Magindu aliyedaiwa kuuawa kwa kukatwa miguu na mkono mmoja katika kijiji cha Nyamaruru wilayani Geita mwaka 2008 imesikilizwa kwa siku tatu kwenye mahakama kuu ya Mkoa wa Geita.
Kesi hiyo namba 43 ya mwaka 2009 inawahusisha watuhumiwa wanne ambao wanadaiwa kushirikiana katika zoezi la mauaji hayo.
Tukio la kuuawa kwa Zawadi limetokea tarehe 11 Machi mwaka 2008 majira ya usiku katika kijiji cha Nyamaruru.
Kesi hiyo...
10 years ago
Habarileo06 Jun
Wataka kesi udhalilishaji wa kijinsia ziharakishwe
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakiwemo wale wanaounda Umoja wa Wanawake (Uwawaza) wameitaka Serikali kuchukua juhudi za kupambana na matukio ya udhalilishaji wa kijinsia na kuvitaka vyombo vya sheria ikiwemo mahakama kuharakisha kesi hizo ili zitolewe hukumu zake.
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Jaji Mkuu aitaka dola ijipange kesi za mauaji ya albino
10 years ago
Michuzi11 May
KESI YA MAUAJI YA ALBINO AARON NONGO YAANZA KUSIKILIZWA TENA
KESI ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino) imeanza kusikilizwa tena leo hii kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya kusimama kwa miezi takriban mitano.
Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014 liko mbele ya Jaji Robert Makaramba, ambaye ndiyo kwanza ameanza kulisikiliza baada ya jaji wa awali, Ashery Sumari, kupewa uhamisho.
Washtakiwa katika kesi hiyo walikuwa watano, lakini leo hii mahakama imearifiwa kwamba mmoja – Paulo Budeba Genji maarufu kama...
10 years ago
Mwananchi07 Mar
MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziGABRIEL FUIME AFUTIWA KESI YA MAUAJI NA KUWA MAUAJI BILA KUKUSUDIA
5 years ago
MichuziMSHUKIWA WA MAUAJI YA BINTI WA KAZI KIZIMBANI KWA KESI YA MAUAJI NA MADAWA YA KULEVYA
11 years ago
Mwananchi08 Jul
KESI: ‘Ushahidi kesi ya mauaji kikwazo’