Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka kesi udhalilishaji wa kijinsia ziharakishwe

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakiwemo wale wanaounda Umoja wa Wanawake (Uwawaza) wameitaka Serikali kuchukua juhudi za kupambana na matukio ya udhalilishaji wa kijinsia na kuvitaka vyombo vya sheria ikiwemo mahakama kuharakisha kesi hizo ili zitolewe hukumu zake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wataka kesi za udhalilishaji kuharakishwa

WANAHARAKATI wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia, wamevitaka vyombo vya sheria nchini ikiwemo Mahakama, kuzipatia ufumbuzi wa haraka kesi za udhalilishaji wa kijinsia, ikiwemo ubakaji. Ofisa wa Utetezi wa Chama cha Waandishi wa Habari (TAMWA), Asha Abdi alisema jumla ya kesi 996 ziliripotiwa katika vituo vya Polisi Unguja na Pemba.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Kesi za mauaji ya albino ziharakishwe’

Wadau wa haki za binadamu wamezitaka Mahakama nchini kufanya kazi kwa haki na kuendesha kesi zinazohusiana na mashambulio ya watu wenye ulemavu wa ngozi kwa haraka ili kutoa funzo kwa wengine.

 

9 years ago

Dewji Blog

UN, SMZ kushirikiana kukomesha udhalilishaji wa kijinsia

IMG_9939

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa  na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Dawati la Jinsia na Watoto, Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Kijiji cha Mahonda wakati wa ziara fupi ya kukagua miradi inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa visiwani humo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja huo tangu kuanzishwa.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar.

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa  na...

 

11 years ago

Habarileo

Rais Shein ataka udhalilishaji wa kijinsia kukomeshwa

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametaka miezi iliyobakia ya mwaka wa 2014, iwe ya kupambana na kutokomeza vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia. Katika utekelezaji wa agizo hilo, Dk Shein ametaka vyombo vya sheria kuchukua hatua za kisheria kwa wahusika watakaobainika kufanya matukio hayo.

 

10 years ago

Vijimambo

TABIA HII YA WAUZA MITUMBA SOKO LA MCHIKICHINI NI UDHALILISHAJI WA KIJINSIA

Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini
Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale wa Modewji blogMiongoni mwa mambo ya aibu katika jamii ni pamoja na masuala ya udhalilishaji wa kijinsia ukiwemo ule wa maungoni hasa kwa wanawake.Kwa muda mrefu mtandao huu umekuwa ukifuatilia vitendo hivyo vibaya kwa jamii vinavyofanywa na watu waliokosa ustaarabu hasa jamii ya vijana katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi karibu maeneo mengi ikiwemo jiji la Dar es Salaam....

 

10 years ago

Dewji Blog

TAHARIRI: Tabia hii ya wauza mitumba soko la Mchikichini ni udhalilishaji wa kijinsia

Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini

Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Miongoni mwa mambo ya aibu katika jamii ni pamoja na masuala ya udhalilishaji wa kijinsia ukiwemo ule wa maungoni hasa kwa wanawake.

Kwa muda mrefu  mtandao huu umekuwa ukifuatilia vitendo hivyo vibaya kwa jamii vinavyofanywa na watu  waliokosa ustaarabu hasa jamii ya vijana katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi karibu maeneo mengi ikiwemo jiji la Dar es...

 

10 years ago

GPL

TAHARIRI: TABIA HII YA WAUZA MITUMBA SOKO LA MCHIKICHINI NI UDHALILISHAJI WA KIJINSIA‏

Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam. Na Andrew Chale wa Modewji blog
Miongoni mwa mambo ya aibu katika jamii ni pamoja na masuala ya udhalilishaji wa kijinsia ukiwemo ule wa maungoni hasa kwa wanawake.
Kwa muda mrefu mtandao huu umekuwa ukifuatilia vitendo hivyo vibaya kwa jamii vinavyofanywa na watu waliokosa ustaarabu hasa jamii ya vijana katika maeneo ya mikusanyiko ya...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu Ukomeshwaji wa Udhalilishaji wa Kijinsia kwenye Maeneo yenye Migogoro

 Mhe. Peter Kallaghe, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza akizungumza na  Mhe. Mark Simmonds, Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa kuhusu Ukomeshwaji wa Udhalilishaji wa Kijinsia kwenye Maeneo yenye Migogoro unaoendelea Jijini London, Uingereza.  Kwenye sherehe za ufunguzi, waandaaji wa mkutano huo walisifia nchi zinazochangia kuleta amani kwenye maeneo yenye migogoro duniani . Aidha walisifu hatua ya Tanzania kuwa miongoni mwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani