Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka kesi za udhalilishaji kuharakishwa

WANAHARAKATI wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia, wamevitaka vyombo vya sheria nchini ikiwemo Mahakama, kuzipatia ufumbuzi wa haraka kesi za udhalilishaji wa kijinsia, ikiwemo ubakaji. Ofisa wa Utetezi wa Chama cha Waandishi wa Habari (TAMWA), Asha Abdi alisema jumla ya kesi 996 ziliripotiwa katika vituo vya Polisi Unguja na Pemba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wataka kesi udhalilishaji wa kijinsia ziharakishwe

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakiwemo wale wanaounda Umoja wa Wanawake (Uwawaza) wameitaka Serikali kuchukua juhudi za kupambana na matukio ya udhalilishaji wa kijinsia na kuvitaka vyombo vya sheria ikiwemo mahakama kuharakisha kesi hizo ili zitolewe hukumu zake.

 

11 years ago

Mwananchi

Mirerani sasa wataka EPZ kuharakishwa

Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, wameomba Serikali iharakishe ujenzi wa Eneo Huru la Biashara (EPZ) ili wapate soko la uhakika wa madini yao.

 

10 years ago

Habarileo

TAWNET wataka uchunguzi wakwepa kodi kwenye sukari kuharakishwa

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) kimeitaka Serikali kuharakisha uchunguzi dhidi ya wafanyabiashara wanaoingiza sukari kimagendo na kukwepa kodi.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi za wauaji wa albino kuharakishwa

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande OthumanJAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman amesema watahakikisha kesi zote zinazohusu mauaji ya walemavu wa ngozi zinapewa kipaumbele.

 

5 years ago

Michuzi

BARUA ZAWASILISHWA KUTAKA KUFUTWA KESI ZA UDHALILISHAJI WANAWAKE NA WATOTO ZANZIBAR

Zaidi ya barua 100  zimewasilishwa katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashataka (DPP) zenye lengo la kutaka kufutwa kwa kesi za udhalilishaji wanawake na watoto visiwani hapa katika siku za hivi karibuni.Hayo yamesemwa na Wakili wa Seikali kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka (DPP) Mkoa wa Mjini Magharib Unguja Omar Makungu Omar wakati alipoka akieleza jinsi wanavyokabiliana na chanagamoto dhidi ya kesi hizo katika mkutano maalumu uliofanyika ofisi za TAMWA-ZNZ huko Tunguu Wilaya ya kati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigoma wataka waunganishwe kesi ya Kafulila

WANANCHI wa Kigoma Kusini, wamesema wapo tayari kuunganishwa katika kesi ya mbunge wao, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), wakidai kuwa sasa kiburi cha Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inabidi kifike mwisho....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawakili kesi ya Pinda wataka itupwe

UPANDE wa Jamhuri umeiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Ombi hilo liliwasilishwa...

 

11 years ago

Habarileo

Msikiti wataka maelezo kesi yao kuchelewa

WADHAMINI wa Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam wamemuandikia barua Jaji Mkuu wa Tanzania, Othmani Chande, wakitaka maelezo ya kina kuhusu kuchelewa kushughulikiwa kwa rufaa ya kesi yao nambari 3/2004 iliyopo Mahakama ya Rufaa kwa mwaka wa 10 sasa.

 

5 years ago

Michuzi

Madiwani wataka maridhiano kesi dhidi ya halmashauri yao zimalizwe

Na Amiri Kilagalila,Njombe

Akiwasilisha taarifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali kwa Mwaka 2018/2019 mweka Hazina wa Halmashauri ya mji Njombe Bi. Dorcas Mkello amesema kuwa Halmashauri ilipata Hati inayoridhisha (Hati Safi) yenye masuala mawili ya msisitizo ambapo moja ni miradi ya maji kuhamia Ruwasa na pili ikiwa ni kesi za madai yenye kiasi cha Tshs. 215,384,844 ambapo kama uamuzi utatoka juu ya walalamikaji Halmashauri itatakiwa kulipa fedha hizo.

Wakitoa mapendekezo yao wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani