Mawakili kesi ya Pinda wataka itupwe
UPANDE wa Jamhuri umeiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Ombi hilo liliwasilishwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Apr
Mawakili wa Gwajima wataka uhalali wa kupeleka nyaraka Polisi
MAWAKILI wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.
10 years ago
Habarileo30 Jan
Mawakili waomba kesi ya Escrow isimamishwe
MAWAKILI wa upande wa utetezi katika kesi mbili za kupokea rushwa ya zaidi ya Sh bilioni 2 kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow, wameiomba Mahakama kusimamisha kesi hizo hadi itakaposikiliza hoja zao.
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Mawakili kesi ya Mwale waja juu
MAWAKILI wa utetezi kwenye shauri la utakatishaji fedha linalowakabili washitakiwa wanne akiwemo wakili maarufu, jijini hapa, Median Mwale, wameibua hoja juu ya uhalali wa kutumika kwa sheria ya kuzuia utakatishaji...
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Sep
Mawakili waomba kesi ya ugaidi ifutwe
NA MWANDISHI WETU
MAWAKILI wanaowatetea viongozi wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar wameiomba mahakama kuiondoa hati ya mashitaka ya ugaidi dhidi ya wateja wao.
Sheikh FArid Hadi Ahmed na wenzake, wanakabiliwa na mashitaka ya kula njama, kuwaingiza watu nchini kushiriki vitendo vya ugaidi, kukubaliana kuwaingiza Sadick Absaloum na Farah Omary ili washiriki vitendo.
Ombi hilo liliwasilishwa jana, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambako ulinzi uliimarishwa kwa kuwepo askari wengi wakiwemo...
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Mawakili wakwamisha kesi ya Ponda kusikilizwa
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Mawakili wakata rufaa kesi ya bilionea Msuya
NA SAFINA SARWATT, MOSHI.
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi imeahirisha kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya, baada ya upande wa utetezi kukata rufaa kutokana na kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa wa kutupilia mbali ombi lao la kutopokewa kwa maelezo ya mshtakiwa wa tatu.
Upande wa utetezi unaongozwa na jopo la mawakili wanne ambao ni Hudson Ndusyepo anayemwakilisha mshtakiwa wa kwanza, Majura Magafi anayewawakilisha mshtakiwa wa pili na tano, Emmanuel Safari anayemwakilisha...
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Jaji Mkuu Chande awaonya mawakili kuchelewesha kesi
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mawakili kesi ya Sheikh Ponda wavutana kuhusu sheria ya ushahidi
11 years ago
Habarileo18 Feb
Wataka kesi za udhalilishaji kuharakishwa
WANAHARAKATI wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia, wamevitaka vyombo vya sheria nchini ikiwemo Mahakama, kuzipatia ufumbuzi wa haraka kesi za udhalilishaji wa kijinsia, ikiwemo ubakaji. Ofisa wa Utetezi wa Chama cha Waandishi wa Habari (TAMWA), Asha Abdi alisema jumla ya kesi 996 ziliripotiwa katika vituo vya Polisi Unguja na Pemba.