BARUA ZAWASILISHWA KUTAKA KUFUTWA KESI ZA UDHALILISHAJI WANAWAKE NA WATOTO ZANZIBAR
![](https://1.bp.blogspot.com/-kqvjFhP5Y0k/XuNoxwOSCnI/AAAAAAALtiE/RR884UVQAXIO-SP_6NACekhiRj11bO7RwCLcBGAsYHQ/s72-c/01..jpeg)
Zaidi ya barua 100 zimewasilishwa katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashataka (DPP) zenye lengo la kutaka kufutwa kwa kesi za udhalilishaji wanawake na watoto visiwani hapa katika siku za hivi karibuni.Hayo yamesemwa na Wakili wa Seikali kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka (DPP) Mkoa wa Mjini Magharib Unguja Omar Makungu Omar wakati alipoka akieleza jinsi wanavyokabiliana na chanagamoto dhidi ya kesi hizo katika mkutano maalumu uliofanyika ofisi za TAMWA-ZNZ huko Tunguu Wilaya ya kati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogSAMIA: VITENDO VYA KULAWITI WATOTO WA KIUME NI UKATILI NA UDHALILISHAJI WA WATOTO, LAZIMA VIKOMESHWE
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekemea vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto hasa wa kiume ambao baadhi wamekuwa wakiwadhalilisha kwa kuwalawiti.
Ameyasema hayo leo mkoani Simiyu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kitaifa mkoani hapa/
Makamu wa Rais amewataka Watanzania kusimama pampja kwa kila mmoja kuwa mlinzi wa mwenzie na kuwa katika mapambano hayo ya kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia.
"Sasa hii tabia ya kuwageuza...
11 years ago
Habarileo18 Feb
Wataka kesi za udhalilishaji kuharakishwa
WANAHARAKATI wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia, wamevitaka vyombo vya sheria nchini ikiwemo Mahakama, kuzipatia ufumbuzi wa haraka kesi za udhalilishaji wa kijinsia, ikiwemo ubakaji. Ofisa wa Utetezi wa Chama cha Waandishi wa Habari (TAMWA), Asha Abdi alisema jumla ya kesi 996 ziliripotiwa katika vituo vya Polisi Unguja na Pemba.
10 years ago
Habarileo06 Jun
Wataka kesi udhalilishaji wa kijinsia ziharakishwe
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakiwemo wale wanaounda Umoja wa Wanawake (Uwawaza) wameitaka Serikali kuchukua juhudi za kupambana na matukio ya udhalilishaji wa kijinsia na kuvitaka vyombo vya sheria ikiwemo mahakama kuharakisha kesi hizo ili zitolewe hukumu zake.
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Ripoti yafichua udhalilishaji wanawake
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ksmOm5Zogvo/VkCGzFLkIII/AAAAAAAIE_Q/p-lV-eQ7aTY/s72-c/IMG_3540.jpg)
WAJUMBE WA BARAZA LA WAKILISHI WA CUF ZANZIBAR WAMEPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR KUFUTWA
Wajumbe 27 wa baraza hilo wamewasili jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandishi wa habari juu ya kizungumkuti cha matokeo ya uchaguzi kufutwa huku wakiwa wenyewe hatambui hatua hiyo.
Akizungumza mmoja wa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi,...
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Wanasheria wapinga kufutwa kesi Z’bar
11 years ago
Habarileo11 Mar
Mbunge mkongwe akerwa na udhalilishaji wanawake
MWANASIASA mkongwe nchini ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Anna Abdallah amesema ataendelea kukemea vitendo vya kudhalilisha wanawake wanaotafuta uongozi.
11 years ago
Habarileo16 Apr
Tamwa yalaani udhalilishaji wanawake hotelini
CHAMA cha Waandishi wa Habarim Wanawake (TAMWA) kimesikitishwa na kasi ya matukio ya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo wanawake kubakwa katika hoteli za kitalii pamoja na wafanyakazi wa ndani majumbani.
11 years ago
Michuzi27 Jun
Ukeketaji Wanawake ni Udhalilishaji — Waziri Sophia Simba
![Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0064.jpg)
![Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_00541.jpg)
![Washiriki Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0081.jpg)