Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KESI: ‘Ushahidi kesi ya mauaji kikwazo’

>Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya raia eneo la Magomeni Mikumi, jijini Dar es Salaam, umekiri kuwa hauna ushahidi huru kwa baadhi ya washtakiwa katika kesi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mashahidi kesi ya mauaji ya Msuya waanza kutoa ushahidi

Upande wa mashahidi katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara tajiri wa madini wa Mererani, Erasto Msuya umeanza kutoa ushahidi wao jana.

 

11 years ago

Habarileo

Ushahidi kesi ya Mramba wafutwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta ushahidi wa aliyekuwa Kamishna wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Felesian Msigala, uliokuwa umetolewa mahakamani hapo kwa ajili ya kumtetea aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba.

 

11 years ago

Mwananchi

Ushahidi kesi ya Mbasha Agosti 22

Ushahidi wa kesi inayomkabili mwimbaji wa nyimbo za injili, Emmanuel Mbasha utaanza kusikilizwa Agosti 22, mwaka huu katika Mahakama ya Wilaya Ilala.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbowe atoa ushahidi kesi ya shambulio.


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (53), anayekabiliwa na kesi ya shambulio dhidi ya mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, ameileza mahakama kwamba alilazimika kumtoa nje kwa nguvu nje ya kituo cha kura, Nasir Uronu, kwa madai kuwa alikuwa na utambulisho bandia ambao hautambuliki na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) isipokuwa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata).

Akitoa...

 

10 years ago

Habarileo

Video yatumika ushahidi kesi ya Ponda

Shehe Ponda Issa PondaUPANDE wa Mashikata kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda umewasilisha ushahidi muhimu wa mkanda wa video unaodaiwa kuonesha uhalisia wa tukio zima la kesi yake inayomkabili ya kutoa maneno ya uchochezi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi 82 zafutwa kwa kukosa ushahidi

KESI 82 zilizokaa muda mrefu zimefutwa mkoani Kagera kwa kukosa ushahidi wa kutosha katika kipindi cha mwaka 2012/2013.  Akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Sheria nchini, jana Mwanasheria Mfawidhi wa...

 

10 years ago

Michuzi

GABRIEL FUIME AFUTIWA KESI YA MAUAJI NA KUWA MAUAJI BILA KUKUSUDIA

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime akifikishwa mahakamani wakati wa hatua za awali za kesi hiyo. ------------------------Na Mwene Said wa Globu ya Jamii MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta  mwenendo wa kesi ya mauaji iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini dhidi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11, wanaohusishwa na kuporomoka kwa jingo la ghorofa 16 katika mtaa wa Indira Gandh na kuua watu 27...

 

5 years ago

Michuzi

MSHUKIWA WA MAUAJI YA BINTI WA KAZI KIZIMBANI KWA KESI YA MAUAJI NA MADAWA YA KULEVYA

Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo leo jijini Arusha.Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo. Pichani ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya binti wa kazi akiingizwa kwa hakimu mkazi mfawidhi Analia Mushi kutajwa kwa kesi yake huku akijifunika uso gubigubi kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani