Ushahidi kesi ya Mbasha Agosti 22
Ushahidi wa kesi inayomkabili mwimbaji wa nyimbo za injili, Emmanuel Mbasha utaanza kusikilizwa Agosti 22, mwaka huu katika Mahakama ya Wilaya Ilala.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLFLORA ATOA USHAHIDI KESI YA MBASHA KWA SIRI
11 years ago
Mwananchi08 Jul
KESI: ‘Ushahidi kesi ya mauaji kikwazo’
10 years ago
VijimamboSAKATA LA EMMANUEL MBASHA KUBAKA: Daktari Atoa Ushahidi Mahakamani, Asema Vipimo Havikuonyesha Dalili yoyote ya Msichana Huyo Kubakwa
Shahidi wa nne katika kesi ya tuhuma za ubakaji inayomkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwanamuziki wa nyimbo za injili, Flora Mbasha, jana alidai mahakamani kuwa hakuona dalili zozote za kuingiliwa kimwili mlalamikaji.
Hayo yalidaiwa na daktari wa Hospitali ya Amana, Migole Mtuka, ambaye alimfanyia vipimo msichana huyo.Daktari huyo alidai katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba vipimo alivyomfanyia msichana huyo anayedaiwa kubakwa na Mbasha, havikuonyesha kitu chochote.
Dk. Migole alidai kuwa...
10 years ago
Uhuru NewspaperKESI YA MUME WA MBASHA
Daktari aanika taarifa ya vipimo
NA ATHNATH MKIRAMWENI
SHAHIDI wa nne katika kesi ya tuhuma za ubakaji inayomkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwanamuziki wa nyimbo za injili, Flora Mbasha, jana alidai mahakamani kuwa hakuona dalili zozote za kuingiliwa kimwili mlalamikaji.
Hayo yalidaiwa na daktari wa Hospitali ya Amana, Migole Mtuka, ambaye alimfanyia vipimo msichana huyo.
Daktari huyo alidai katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba vipimo alivyomfanyia msichana huyo anayedaiwa kubakwa na...
11 years ago
Habarileo18 Jun
Ushahidi kesi ya Mramba wafutwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta ushahidi wa aliyekuwa Kamishna wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Felesian Msigala, uliokuwa umetolewa mahakamani hapo kwa ajili ya kumtetea aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba.
10 years ago
VijimamboKesi ya Mbasha Yakwama tena
Kesi ya ubakaji inayomkabili mwanamuziki wa nyimbo za injili ambaye ni mume wa Flora Mbasha kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imesogezwa tena mbele kutokana na kutokuwepo kwa mwendesha mashtaka anayeisimamia kesi hiyo. Kesi hiyo ya Emmanuel Mbasha ilitakiwa kuendelea baada ya mashahidi kuwepo eneo la tukio kabla ya hakimu mkazi Flora Mjaya kuairisha mpaka Mei 29, 2015 kutokana na kutokuwepo kwa mwendesha mashtaka Nassoro Katuga.
Mashahidi wawili wameshatoa ushahidi huku mmojawapo akiwa ...
11 years ago
MichuziUPELELEZI KESI YA MBASHA WAKAMILIKA
10 years ago
Vijimambo28 Feb
Mbowe atoa ushahidi kesi ya shambulio.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (53), anayekabiliwa na kesi ya shambulio dhidi ya mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, ameileza mahakama kwamba alilazimika kumtoa nje kwa nguvu nje ya kituo cha kura, Nasir Uronu, kwa madai kuwa alikuwa na utambulisho bandia ambao hautambuliki na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) isipokuwa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Akitoa...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Kesi 82 zafutwa kwa kukosa ushahidi
KESI 82 zilizokaa muda mrefu zimefutwa mkoani Kagera kwa kukosa ushahidi wa kutosha katika kipindi cha mwaka 2012/2013. Akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Sheria nchini, jana Mwanasheria Mfawidhi wa...