Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAKATA LA EMMANUEL MBASHA KUBAKA: Daktari Atoa Ushahidi Mahakamani, Asema Vipimo Havikuonyesha Dalili yoyote ya Msichana Huyo Kubakwa


Shahidi wa nne katika kesi ya tuhuma za ubakaji inayomkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwanamuziki wa nyimbo za injili, Flora Mbasha, jana alidai mahakamani kuwa hakuona dalili zozote za kuingiliwa kimwili mlalamikaji.
Hayo yalidaiwa na daktari wa Hospitali ya Amana, Migole Mtuka, ambaye alimfanyia vipimo msichana huyo.Daktari huyo alidai katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba vipimo alivyomfanyia msichana huyo anayedaiwa kubakwa na Mbasha, havikuonyesha kitu chochote.
Dk. Migole alidai kuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Picha nje ya Mahakama baada ya Mwimbaji wa Gospel Emmanuel Mbasha kushinda kesi ya kubaka



Emmanuel Mbasha akiwa amepiga magoti huku akitokwa machozi nje ya Mahakama ya Ilala, Dar es Salaam baada ya Hukumu kutolewa. Hizi hapa Picha nje ya Mahakama ya Ilala baada ya Hukumu kutolewa Mahakamani na Emmanuel Mbasha kutoka nje ya Mahakama.






millardayo.com

 

10 years ago

Habarileo

Anayedai kubakwa na Mbasha atoa ushuhuda

SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya ubakaji inayomkabili mume wa mwimbaji wa muziki wa injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) ameieleza mahakama jinsi alivyobakwa akiwa kwenye gari na nyumbani kwao. Shahidi huyo mwenye umri wa miaka 17 (jina limehifadhiwa) ambaye pia ni shemeji wa Mbasha, alidai mbele ya Hakimu Wilberforce Luhwago kuwa Mei 23 mwaka huu, Mbasha alimbaka kwa mara ya kwanza wakati mkewe Flora akiwa hayupo.

 

10 years ago

Vijimambo

Emmanuel Mbasha Amwaga Machozi Mahakani..Sakata la Kumbaka Shemeji Yake

Mwimbaji wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, anayekabiliwa na kesi ya kumbaka mtoto wa miaka 17, juzi alitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Wilaya ya Ilala akibubujikwa machozi.Hali hiyo ilimtokea mara baada ya shahidi wa pili wa kesi hiyo, aliyejulikana kwa jina la Suzan, kutoa ushahidi wake.Kwa kuwa kesi hiyo inasikilizwa kwenye chemba (chumba maalumu ambacho waandishi na watu wasiohusika hawaruhusiwi kuingia) haikuweza kujulikana mara moja ni kitu gani kilichofanya mwimbaji huyo ambaye...

 

10 years ago

GPL

FLORA ATOA USHAHIDI KESI YA MBASHA KWA SIRI

Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, akiwa na mume wake, Emmanuel Mbasha. KESI ya kudaiwa kumbaka shemeji yake inayomkabili mfanyabiashara na mwimba Injili Bongo, Emmanuel Mbasha imeendelea kuunguruma leo katika Mahakama ya Ilala jijini Dar ambapo mkewe Flora alifika na kutoa ushahidi kwa siri. Kesi hiyo ilianza kuunguruma kwenye ofisi ya hakimu (Chamber), mishale ya saa 5 hadi saa 8 mchana mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...

 

10 years ago

Bongo5

T.I: Tanzania ilikuwa mzuka, sikuona dalili yoyote ya kuwepo Ebola

Baada tu ya kutua Marekani akitokea Tanzania, waandishi wa habari wa TMZ walimtime kwenye uwanja wa ndege na kumuuliza suala ya kusuluhisha beef ya Iggy Azalea na Snoop Dogg pamoja na show yake ya Dar es Salaam. How was Tanzania man?” mwandishi wa TMZ aliuliza na T.I. kujibu: It was awesome man, it was an […]

 

11 years ago

GPL

MIKE, DUDE WAFUNGUKIA TUHUMA ZA MBASHA KUBAKA!

Na Gladness Mallya
WAIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Michael Sangu ‘Mike Sangu’ na Kulwa Kikumba ‘Dude’ wamelizungumzia tukio la mume wa mwimba Injili, Flora Emmanuel Mbasha kubaka na kudai wanashindwa kumuelewa aliyeshtaki. Muigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Wakizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, waigizaji hao walisema wametatizika na binti huyo kushtaki polisi...

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE ANAYEONYESHA DALILI ZA CORONA ATAFANYIWA VIPIMO ILA HATUTANGAZI

  Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amesema kuwa Mbunge yeyote ambaye anahisi ana dalili za maambukizi ya Virusi vya Corona anafanyiwa vipimo, isipokuwa hawatangazi tu kwenye vyombo vya habari.

Spika Ndugai ameyabainisha hayo, wakati akifanya mazungumzo maalum na kuhojiwa kwamba je wanao mpango wa kuwafanyia vipimo Wabunge wote ili atakayebainika kupata maambukizi awekwe Karantini?, ambapo Spika alijibu.

"Kila Mbunge ambaye anajihisi vibaya anafanyiwa vipimo, tunachofanya hatutangazi tu"...

 

9 years ago

GPL

EMMANUEL MBASHA AACHIWA HURU

Mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akitoka nje ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo. MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo imemuachia huru mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kosa la ubakaji baada ya kuona hana hatia juu ya madai hayo.
Mbasha alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumbaka shemeji yake mwenye umri...

 

11 years ago

IPPmedia

Gospel singer, Emmanuel Mbasha


IPPmedia
Gospel singer, Emmanuel Mbasha
IPPmedia
Businessman cum gospel singer Emmanuel Mbasha, a husband of Flora yesterday appeared at the Ilala District Court in Dar es Salaam charged with two alleged offences of rape. The prosecution led by Senior State attorney Nasoro Katuga claimed before ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani