MIKE, DUDE WAFUNGUKIA TUHUMA ZA MBASHA KUBAKA!

Na Gladness Mallya WAIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Michael Sangu ‘Mike Sangu’ na Kulwa Kikumba ‘Dude’ wamelizungumzia tukio la mume wa mwimba Injili, Flora Emmanuel Mbasha kubaka na kudai wanashindwa kumuelewa aliyeshtaki. Muigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Wakizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, waigizaji hao walisema wametatizika na binti huyo kushtaki polisi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 Sep
Picha nje ya Mahakama baada ya Mwimbaji wa Gospel Emmanuel Mbasha kushinda kesi ya kubaka


Emmanuel Mbasha akiwa amepiga magoti huku akitokwa machozi nje ya Mahakama ya Ilala, Dar es Salaam baada ya Hukumu kutolewa. Hizi hapa Picha nje ya Mahakama ya Ilala baada ya Hukumu kutolewa Mahakamani na Emmanuel Mbasha kutoka nje ya Mahakama.









millardayo.com
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Tuhuma za kubaka zilivyomkasirisha R.Kelly akakatisha interview ya TV na kuondoka…(+Video)
Staa wa muziki long time Marekani, Robert Sylvester Kelly a.k.a R. Kelly yuko kwenye hatua za mwishomwisho kuachia album yake ya Buffet, katika Interview iliyofanyika jana December 21 2015 imechukua headlines mitandaoni baada ya R. Kelly kususia interview hiyo katikati na kuondoka zake !! Mtangazaji Caroline Modarressy-Tehrani alirudia kosa ambalo R. Kelly hakupenda, R. Kelly […]
The post Tuhuma za kubaka zilivyomkasirisha R.Kelly akakatisha interview ya TV na kuondoka…(+Video) appeared...
10 years ago
Vijimambo
SAKATA LA EMMANUEL MBASHA KUBAKA: Daktari Atoa Ushahidi Mahakamani, Asema Vipimo Havikuonyesha Dalili yoyote ya Msichana Huyo Kubakwa

Shahidi wa nne katika kesi ya tuhuma za ubakaji inayomkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwanamuziki wa nyimbo za injili, Flora Mbasha, jana alidai mahakamani kuwa hakuona dalili zozote za kuingiliwa kimwili mlalamikaji.
Hayo yalidaiwa na daktari wa Hospitali ya Amana, Migole Mtuka, ambaye alimfanyia vipimo msichana huyo.Daktari huyo alidai katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba vipimo alivyomfanyia msichana huyo anayedaiwa kubakwa na Mbasha, havikuonyesha kitu chochote.
Dk. Migole alidai kuwa...
10 years ago
GPL
MASTAA WA KIKE WAFUNGUKIA NYETI BANDIA
10 years ago
GPL
FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!
11 years ago
Mwananchi23 Jul
TUHUMA: Mwamuzi wa Fifa asakwa kwa tuhuma za wizi
11 years ago
Habarileo10 Jun
Mfanyabiashara adaiwa kubaka
MFANYABIASHARA Edward Kohe (35) mkazi wa Kitunda-Kizuiani, Ilala mkoani Dar es Salaam amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka ya kubaka.
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Wazee kortini kwa kubaka
WAZEE wawili akiwemo mlinzi wa Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti wanafunzi...
11 years ago
Habarileo24 Jan
Jela miaka 30 kwa kubaka
MAHAKAMA ya hakimu mkazi wilaya ya Shinyanga, imemtupa jela mkazi wa kijiji cha Ilobashi wilaya ya Shinyanga Vijijini miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili.