FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!
![](http://api.ning.com:80/files/HfIXzVrPfI3uOtXrrNbf5IpZqXZIu-V6PZSjijdbBhggcJP-2EP1bbbVdpd*TVyG2uu1q*vqTaLpW-D-KROImfZgpJoZBJQ8/flora_mbasha5.jpg)
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi. Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito. Akizungumza na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-giQBJDM2wM8/VL9qpB2hv0I/AAAAAAADWPU/t6rahjXgMtg/s72-c/Flora-Mbasha-Xmass-Card.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vcB-R4TFh6pEZNpG8oVy6Fk3RXjSsCr4jdT9auMRfTZzcrjVF4ITcPCjp46jb3Uku9J4bG8102MHbtI23X0B4qJFSRCsJAvW/flora.jpg)
MBASHA, FLORA WAPATANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRmkiNyONmKW6b8GJXPfuWsHT2UPvgV2OmQsf92vBYrWl2lYy9hJm8nAqfk8zwAk1bdUivUq*BxO1X9VUQg7BbdC/FLORA.jpg)
FLORA MBASHA AVAMIWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO6EvQ2FsNvKrJwvFKNHe*pniHgRlQII6ZVQR5EWGbFZAlxkCjGWlHayPQaEHNoAoudp9ypAbk0rPJNa5P6CjVQ8/mbasha.jpg)
FLORA MBASHA AIBU MARA 3
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oOoMhaf9XCPzEaeTR0xDkzcC28ZGou3WnXQOQEQutcqV-MqVfzUZuujxKDCIPMkur4a2c*dFKt08Nl*GcJ1enFF/AMANDA.jpg)
AMANDA AMFUNGUKIA FLORA MBASHA
11 years ago
Habarileo18 Jun
Mume wa Flora Mbasha kizimbani
MUME wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mawili ya ubakaji.
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Gwajima, Flora Mbasha wafunguka
Elias Msuya na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya picha za mtoto mchanga kusambazwa katika mitandao ya kijamii na kudai kuwa ni za mtoto wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kuwa amezaa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima hatimaye wawili hao wamefunguka.
Hatua hiyo imekuja miezi saba tangu wawili hao walipoingia katika mgogoro wa ndoa yao hali iliyosababisha mume wa Flora, Emmanuel Mbasha kufikishwa mahakamani kwa kosa la...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1crtJ3WZ*HgjYoKV1VgDfO-SKVe4Mf2L0pJ8zMzpCPTPlkISKT*ZiuDmqdYNqLh7KwR*V3FEBqQs8KHasTQUZj1h/ndoa.jpg?width=650)
NDOA YA FLORA MBASHA CHALI
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/KOZslsWYfWg/default.jpg)