Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FLORA MBASHA


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi. Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito. Akizungumza na...

 

11 years ago

GPL

MBASHA, FLORA WAPATANA

Stori: WAANDISHI WETU HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi Jumamosi linakuwa nambari wani kukuhabarisha.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, wawili hao walikalishwa kikao cha upatanishi mapema wiki hii kilichokuwa chini ya familia. Mume wa Flora Mbasha, Bw. Emmanuel Mbasha. ...

 

11 years ago

GPL

FLORA MBASHA AVAMIWA

Stori: Makongoro Oging'
SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka. Mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba, juzikati, Flora alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Tabata Kimanga jijiini Dar dakika chache baada ya yeye kuingia na gari akitokea mafichoni anakoishi...

 

11 years ago

GPL

NDOA YA FLORA MBASHA CHALI

BAADA ya kudumu kwa zaidi ya miaka 10, imebainika kuwa ndoa ya mwanamuziki mahiri wa muziki wa Injili Bongo, Flora na mumewe Emmanuel Mbasha ipo chali kwa maana ya kuanguka huku ikidaiwa kuwa, kusimama imara tena inawezekana lakini ni kazi kubwa, Amani limefukunyua mazito. Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha. Hilo limejitokeza wiki moja baada ya madai ya mwanaume huyo kudaiwa kumbaka shemeji yake na kesi ipo polisi....

 

11 years ago

GPL

AMANDA AMFUNGUKIA FLORA MBASHA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa kike kutoka tasnia ya filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amemfungukia mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha akimshauri kuacha kumwanika mumewe, Emmanuel Mbasha kwenye vyombo vya habari. Msanii wa kike kutoka tasnia ya filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’. Flora na mumewe Mbasha, wapo kwenye mgogoro wa kifamilia huku mwanaume akikabiliwa na tuhuma za ubakaji,...

 

10 years ago

GPL

FLORA AMSHTAKI TENA MBASHA!

Brighton masalu WAKATI aliyekuwa mumewe akiwa na msala wa kubaka shemejiye mahakamani, mwimba Injili Flora Mbasha amemshtaki tena mwandani wake huyo wa zamani, Emmanuel Mbasha akidai kumpa vitisho mara kwa mara. Chanzo kilicho karibu na Flora kilipenyeza habari kuwa mara kwa mara Mbasha amekuwa akimtishia Flora ndipo mwanamuziki huyo alipoamua kumshtaki polisi.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1IPKvUH ...

 

11 years ago

Habarileo

Mume wa Flora Mbasha kizimbani

MUME wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mawili ya ubakaji.

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima, Flora Mbasha wafunguka

gwajima2flora_mbasha3_1Elias Msuya na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya picha za mtoto mchanga kusambazwa katika mitandao ya kijamii na kudai kuwa ni za mtoto wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kuwa amezaa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima hatimaye wawili hao wamefunguka.
Hatua hiyo imekuja miezi saba tangu wawili hao walipoingia katika mgogoro wa ndoa yao hali iliyosababisha mume wa Flora, Emmanuel Mbasha kufikishwa mahakamani kwa kosa la...

 

11 years ago

GPL

FLORA MBASHA, KUMBUKA MAANDIKO!

MIMI ni mkristo wa dhehebu la Roma. Mafundisho mengi tunayopewa kuanzia Ubatizo, Komunyo ya Kwanza na Kipaimara, tunafundishwa kuhusu kutenda mema, kupendana wenyewe kwa wenyewe na hata kuwapenda maadui zetu. Tunaambiwa, akija mtu akakupiga kofi shavu lako la  kushoto, wala hata usimrudishie, bali mgeuzie na upande ule wa kulia na akishakutundika hivyo vibao vyake, muombe Mwenyezi Mungu amsamehe. Tunafundishwa kusamehe, ndiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani