FLORA AMSHTAKI TENA MBASHA!

Brighton masalu WAKATI aliyekuwa mumewe akiwa na msala wa kubaka shemejiye mahakamani, mwimba Injili Flora Mbasha amemshtaki tena mwandani wake huyo wa zamani, Emmanuel Mbasha akidai kumpa vitisho mara kwa mara. Chanzo kilicho karibu na Flora kilipenyeza habari kuwa mara kwa mara Mbasha amekuwa akimtishia Flora ndipo mwanamuziki huyo alipoamua kumshtaki polisi. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1IPKvUH ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MBASHA: MIMI NA FLORA NDIYO BASI TENA!
10 years ago
GPL
FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPL
FLORA MBASHA AVAMIWA
11 years ago
GPL
MBASHA, FLORA WAPATANA
10 years ago
Vijimambo10 Oct
Mbasha: Siwezi kumsamehe Flora

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha.
Brighton MasaluSiku chache baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha kufuta kesi ya kudai talaka mahakamani na kudai kuwa bado ana ‘mapenzi’ na mumewe, Emmanuel Mbasha ameibuka na kujiapiza kuwa kutokana na ukali wa mateso aliyoyapitia wakati wa kesi yake, kamwe hawezi kumsamehe mwanamke huyo.

Akizungumza na Ijumaa kwa njia ya simu, Jumatano ya wiki hii siku moja baada ya Flora kuamua kufuta...
11 years ago
GPL
NDOA YA FLORA MBASHA CHALI
11 years ago
GPL
AMANDA AMFUNGUKIA FLORA MBASHA
11 years ago
GPL
FLORA MBASHA, KUMBUKA MAANDIKO!