Mbasha: Siwezi kumsamehe Flora
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha.
Brighton MasaluSiku chache baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha kufuta kesi ya kudai talaka mahakamani na kudai kuwa bado ana ‘mapenzi’ na mumewe, Emmanuel Mbasha ameibuka na kujiapiza kuwa kutokana na ukali wa mateso aliyoyapitia wakati wa kesi yake, kamwe hawezi kumsamehe mwanamke huyo.Aliyekuwa mke wa Emmanuel Mbasha, Flora Mbasha.
Akizungumza na Ijumaa kwa njia ya simu, Jumatano ya wiki hii siku moja baada ya Flora kuamua kufuta...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPL
FLORA MBASHA AVAMIWA
11 years ago
GPL
MBASHA, FLORA WAPATANA
11 years ago
GPL
NDOA YA FLORA MBASHA CHALI
11 years ago
GPL
FLORA MBASHA AIBU MARA 3
11 years ago
GPL
AMANDA AMFUNGUKIA FLORA MBASHA
11 years ago
Habarileo18 Jun
Mume wa Flora Mbasha kizimbani
MUME wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mawili ya ubakaji.
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Gwajima, Flora Mbasha wafunguka
Elias Msuya na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya picha za mtoto mchanga kusambazwa katika mitandao ya kijamii na kudai kuwa ni za mtoto wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kuwa amezaa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima hatimaye wawili hao wamefunguka.
Hatua hiyo imekuja miezi saba tangu wawili hao walipoingia katika mgogoro wa ndoa yao hali iliyosababisha mume wa Flora, Emmanuel Mbasha kufikishwa mahakamani kwa kosa la...