Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Flora Mbasha - Nipe Nguvu

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FRORA MBASHA: DVD MPYA YA NIPE NGUVU YA KUSHIDA SASA IKO MADUKANI

Mungu amekuwa mwema kwangu tangia nilipomkubali kuwa mwokozi wangu na nguzo yangu. Nimeona Mungu akinishindia na magumu ninayopitia na niliyoyapitia katika maisha yangu. Nimeona Mungu huyu unayemwabudu kila siku akinivusha na kunitia moyo pale ninapoona akili yangukufikiri jinsi ya kutatua yale yaliyombele yangu. Mungu huyu ni waajabu kwangu, kaniwezesha katika uaandaji wa albamu hii mpya ya "NIPE NGUVU YA KUSHINDA". Nazidi kumshangaa Mungu huruma zake na fadhili zake kwangu - Flora Mbasha

 

9 years ago

GPL

FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi. Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito. Akizungumza na...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

MBASHA, FLORA WAPATANA

Stori: WAANDISHI WETU HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi Jumamosi linakuwa nambari wani kukuhabarisha.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, wawili hao walikalishwa kikao cha upatanishi mapema wiki hii kilichokuwa chini ya familia. Mume wa Flora Mbasha, Bw. Emmanuel Mbasha. ...

 

11 years ago

GPL

FLORA MBASHA AVAMIWA

Stori: Makongoro Oging'
SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka. Mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba, juzikati, Flora alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Tabata Kimanga jijiini Dar dakika chache baada ya yeye kuingia na gari akitokea mafichoni anakoishi...

 

9 years ago

Vijimambo

Mbasha: Siwezi kumsamehe Flora


Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha.
Brighton MasaluSiku chache baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha kufuta kesi ya kudai talaka mahakamani na kudai kuwa bado ana ‘mapenzi’ na mumewe, Emmanuel Mbasha ameibuka na kujiapiza kuwa kutokana na ukali wa mateso aliyoyapitia wakati wa kesi yake, kamwe hawezi kumsamehe mwanamke huyo.
Aliyekuwa mke wa Emmanuel Mbasha, Flora Mbasha.
Akizungumza na Ijumaa kwa njia ya simu, Jumatano ya wiki hii siku moja baada ya Flora kuamua kufuta...

 

10 years ago

GPL

FLORA AMSHTAKI TENA MBASHA!

Brighton masalu WAKATI aliyekuwa mumewe akiwa na msala wa kubaka shemejiye mahakamani, mwimba Injili Flora Mbasha amemshtaki tena mwandani wake huyo wa zamani, Emmanuel Mbasha akidai kumpa vitisho mara kwa mara. Chanzo kilicho karibu na Flora kilipenyeza habari kuwa mara kwa mara Mbasha amekuwa akimtishia Flora ndipo mwanamuziki huyo alipoamua kumshtaki polisi.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1IPKvUH ...

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima, Flora Mbasha wafunguka

gwajima2flora_mbasha3_1Elias Msuya na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya picha za mtoto mchanga kusambazwa katika mitandao ya kijamii na kudai kuwa ni za mtoto wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kuwa amezaa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima hatimaye wawili hao wamefunguka.
Hatua hiyo imekuja miezi saba tangu wawili hao walipoingia katika mgogoro wa ndoa yao hali iliyosababisha mume wa Flora, Emmanuel Mbasha kufikishwa mahakamani kwa kosa la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani