Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FRORA MBASHA: DVD MPYA YA NIPE NGUVU YA KUSHIDA SASA IKO MADUKANI

Mungu amekuwa mwema kwangu tangia nilipomkubali kuwa mwokozi wangu na nguzo yangu. Nimeona Mungu akinishindia na magumu ninayopitia na niliyoyapitia katika maisha yangu. Nimeona Mungu huyu unayemwabudu kila siku akinivusha na kunitia moyo pale ninapoona akili yangukufikiri jinsi ya kutatua yale yaliyombele yangu. Mungu huyu ni waajabu kwangu, kaniwezesha katika uaandaji wa albamu hii mpya ya "NIPE NGUVU YA KUSHINDA". Nazidi kumshangaa Mungu huruma zake na fadhili zake kwangu - Flora Mbasha

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Michuzi

Filamu Mpya ya Cultural Wars Sasa Yapatikana! Wahi Kujipatia DVD!

Ile filamu mliyokuwa mnaisubiri kwa hamu iitwayo “Cultural Wars” iliyoandikwa na kutengenezwa na Deogratius Mhella (Mtanzania anayeishi New York) akishirikiriana na Watanzania na Wamarekani waishio New York, New Jersey Boston na Connecticut sasa imetoka kwa mara ya kwanza na inapatikana kwenye DVD na unaweza kupata “electronic Copy” na vile vile unaweza kuiona online kupitia: www.createspace.com/405841  Filamu hii inazungumzia baadhi ya changamoto za kimapenzi wazipatazo vijana wa Kitanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

COLLECTION ZA DVD ZA MAYWEATHER NA PACQUAIO SASA ZINAPATIKANA UHURU / MSIMBAZI DAR

Na Mwandishi Wetu
IKIWA zimesalia siku chache kufanyika mpambano wa kusisimua wa mchezo wa masumbwi Duniani kati ya bondia Floyd Mayweather na Manny Paquaio mei 2 mwaka uhu mpambano uho uliovunja rekodi ya mapato mbalimbali ya ngumi zilizofanyika kwa kipindi hichi

kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amekwisha toa Collection DVD za mapambano ya wakali hawo yaliyopita nyuma dvd hizo zenye mafunzo mbalimbali pamoja na mazoezi wakati wakijiandaa kupigana...

 

9 years ago

Habarileo

Hukumu ya Mbasha sasa J’tatu

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imepanga Jumatatu ijayo kutoa hukumu dhidi ya mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Emmanuel Mbasha (32) anayekabiliwa na mashitaka mawili ya kubaka.

 

10 years ago

Bongo Movies

Filamu ya Kusisimua Kuhusu Mauaji ya Albino "Firigisi" , Sasa Iko Jikoni

Filamu ya kusisimua inayohusu ukatili wa watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino) inatarajia kuzinduliwa mwezi April Mwaka huu.Filamu hiyo iliyopewa jina la “FIRIGISI” imefanywa na wasanii kutoka mkoa wa Shinyanga( Bongo Movie Shinyanga) na msanii Denice Sweya maarufu Dino kutoka Bongo Movie Dar es salaam.

Dino ameigiza na kuongoza Filamu hiyo ambayo imebeba maudhui kuhusu Ukatili wanaofanyiwa watu wenye Albinism nchini Tanzania huku watu mbalimbali wakitajwa kuhusika katika ukatili huo wakiwemo...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA HABARI YAKAMILISHA UBORESHAJI TOVUTI YA WANANCHI, SASA IKO HEWANI


WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Idara ya Habari- MAELEZO, imekamilisha kazi ya kuboresha Tovuti ya Wananchi na sasa iko hewani. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Wizara hiyo, Mkurugenzi wa MAELEZO Assah Mwambene,(Pichani) aliwataka wananchi kuitumia tovuti hiyo kupitia anuani ya www.wananchi.go.tz kuwasilisha hoja zao Serikalini ili ziweze kupatiwa majibu .
“Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Idara ya Habari- MAELEZO, imekamilisha...

 

11 years ago

CloudsFM

'SUPA NYOTA' NEY LEE AREKODI VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA YA ’NIPE MUDA’ NCHINI ZAMBIA

Msanii zao la Supa Nyota 2012 Ney Lee anaelekea kukamilisha video ya wimbo wake mpya ‘Nipe Muda’ inayofanyika nchini Zambia na kampuni ya Video ya F2K Production.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani