Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZARA YA HABARI YAKAMILISHA UBORESHAJI TOVUTI YA WANANCHI, SASA IKO HEWANI


WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Idara ya Habari- MAELEZO, imekamilisha kazi ya kuboresha Tovuti ya Wananchi na sasa iko hewani. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Wizara hiyo, Mkurugenzi wa MAELEZO Assah Mwambene,(Pichani) aliwataka wananchi kuitumia tovuti hiyo kupitia anuani ya www.wananchi.go.tz kuwasilisha hoja zao Serikalini ili ziweze kupatiwa majibu .
“Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Idara ya Habari- MAELEZO, imekamilisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Blog mpya ya siasa iko hewani

Untitled-1 copy

KWA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOHUSU MASUALA YA SIASA ZIKIWEMO HABARI MAKALA FUPIFUPI, VITUKO, KUJIFAGILIA NA UWAJIBIKAJI WA WANASIASA KWA JAMII TEMBELEA www.politikstz.blogspot.com ILI UPATE KUJUA, KUELIMIKA NA KUBURUDIKA. PIA UNAWEZA KUTUTUMIA HABARI, MATUKIO YA PICHA NA MAKALA FUPIFUPI LAKINI ZISIWE HABARI ZA KUCHAFUA HALI YA HEWA AMA KUMCHAFUA MTU TUTUMIE KWA EMAIL HII .politikstz@gmail.comTUTASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU.

 

9 years ago

Michuzi

Webisode Mpya ya Ubongo Kids Iko Hewani!

Angalia webisode mpya ya Ubongo Kids "Rafiki wa Macho" BURE kupitia YouTube! Kibena, Kiduchu, Koba na Baraka wanakutana na Bundi na wanajifunza kuhusu sayansi ya mwanga!

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO AFANYA USAFI NA WANANCHI WA UPANGA MASHARIKI



Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyeshika koleo akishiriki zoezi la usafi na wananchi wa Kata ya Upanga mashariki ikiwa ni kuitikia wito wa
kutikia agizo la Mh. Rais John Pombe Magufuli la kufanya usafi siku ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania .

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyeshika toroli akishiriki zoezi la usafi na wananchi wa Kata ya Upanga mashariki ikiwa ni...

 

11 years ago

Michuzi

Michuzi TV IPO HEWANI...JIUNGE SASA - You'll love it!

NDUGU MDAU MICHUZI TV SASA IPO HEWANI. 
JIUNGE HARAKA UPATE MAMBO MOTOMTO!!TUNAANZIA  NA WATEJA WA VODACOM, AMBAO WANAKARIBISHWA KUPIGA  *149*01#  KISHA CHAGUA NAMBA 4 SIMU.tv (MPYA) HALAFU NENDA  NAMBA 1. Habari (BURE), BAADA YA HAPO CHAGUA NAMBA 5 Michuzi TV (BURE) KISHA KUBALI...UNAKUWA UMESHAJISAJILI KWA HUDUMA HII MPYA. LIBENEKE OYE!

 

11 years ago

Michuzi

VIJIMAMBO RADIO SASA IPO HEWANI KWA MAJARIBIO

Timu yaVijimambo inapenda kuwatangazia wadau wake kwa sasa imeanzisha VIJIMMBO RADIO ambayo ipo hewani sasa hivi kwa majaribio kwa hiyo kama utapata nafasi naomba uisikilize kupitia www.vijimamboradio.com 
Toa maoni yako kumbuka tupo kwenye majaribio na bado tunaendelea kuboresha Radio hii na kama una maoni au ushauri unaweza toa maoni yako au tuandikie barua pepe djlukejoe@gmail.com au Vijimamboblog@gmail.com asante endelea kuburudika na 
VIJIMAMBO RADIO

 

9 years ago

Mwananchi

Wakati wako sasa kuanzisha tovuti, blogu

Wengi tumekuwa tukipitia mitandao ya watu kwa ajili ya kuweka taarifa zetu, kutoa maoni na mengine mengi bila kujua kwamba maoni au michango hiyo tunaweza kuitumia vizuri zaidi kama tukifungua tovuti au blogu zetu.

 

10 years ago

Michuzi

WEKA DAU hewani (Online) sasa na M-Bet ndani ya Tanzania


Imagen M-betlogotipo M-BetBETI HEWANI (ONLINE) SASA NA M-BET NDANI YA TANZANIAwww.m-bet.co.tzFurahia mpira na ushinde pesa kwa Tuvuti (Website) mpya ya M-Bet.Fungua akaunti ya M-Bet na upate kubeti bure.Kulipa na Mpesa , na Tigo pesa ita kuja hivi karibuni.Boton

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Habarileo

Uboreshaji wa Daftari la Wapigakura sasa mwakani

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu, Damian LubuvaMWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema uboreshaji wa Daftari la Wapigakura umechelewa kuanza kutokana na kuchelewa kuagiza vifaa vya kufanya kazi hiyo kwa wakati, hivyo kazi hiyo sasa itafanyika mapema mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani