Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakati wako sasa kuanzisha tovuti, blogu

Wengi tumekuwa tukipitia mitandao ya watu kwa ajili ya kuweka taarifa zetu, kutoa maoni na mengine mengi bila kujua kwamba maoni au michango hiyo tunaweza kuitumia vizuri zaidi kama tukifungua tovuti au blogu zetu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ni wakati wa kuanzisha benki ya vijana nchini

Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa alifanya mengi ambayo yanakumbukwa hadi leo lakini kwa upande wa vijana wanalolikumbuka kwa haraka ni uwanja wa kisasa wa Taifa uliojengwa katika kipindi cha utawala wake.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA HABARI YAKAMILISHA UBORESHAJI TOVUTI YA WANANCHI, SASA IKO HEWANI


WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Idara ya Habari- MAELEZO, imekamilisha kazi ya kuboresha Tovuti ya Wananchi na sasa iko hewani. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Wizara hiyo, Mkurugenzi wa MAELEZO Assah Mwambene,(Pichani) aliwataka wananchi kuitumia tovuti hiyo kupitia anuani ya www.wananchi.go.tz kuwasilisha hoja zao Serikalini ili ziweze kupatiwa majibu .
“Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Idara ya Habari- MAELEZO, imekamilisha...

 

10 years ago

Mtanzania

Jeshi sasa kuanzisha benki

GRACE SHITUNDU NA ESTHER MNYIKA
CHAMA cha Akiba na Mikopo cha Ngome (Ngome Saccos) kinachoendeshwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ) kimewataka maofisa na askari kujiunga nao ili kufikia lengo la kuanzisha benki yao wenyewe itakayoitwa Ngome Benki.

Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Kanali Charo Yateri, wakati akitoa taarifa katika semina ya wakuu wa vikosi, vyuo na shule za mafunzo ya jeshi iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl.

Alisema benki hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

TCCIA sasa kuanzisha Benki ya Maendeleo

Chama cha Wafanyabiashara, Kilimo na Viwanda (TCCIA) Mkoa wa Rukwa, kimeanza mchakato wa uanzishaji benki itakayo wawezesha wanachama wake kuweza kupata mikopo yenye riba nafuu kupitia benki hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

HAPO SASA UNAVYOMWACHA MTOTO WAKO NA BABYSITTY

Mcheza kwao utuzwa hiyo mtoto asiende mbali nanyumbani wakati housegirl akiwa busy na mishemishe yake mtoto utulizwa kwa njia hii.

 

10 years ago

GPL

ALIKUWA MPENZI WAKO, KWA NINI SASA UMHARIBIE?

WAPENZI wa XXXLove tunakutana tena leo kwa rehema na kudra za Maulana. Nami bila hiyana nawakaribisha wasomaji wangu kwa moyo mkunjufu, karibuni! Leo nitazungumza na watu ambao walikuwa na mahusiano mwanzoni, baadaye mapenzi yao yakafika mwisho na kila mtu kuanza maisha yake mapya. Kwa bahati nzuri mwenza wako kaolewa ama kuoa na wewe bado uko bachela, kwa nini uanze kumsumbua? Hilo ni tatizo, tena tatizo kubwa sana ambalo...

 

10 years ago

GPL

KWA HALI ILIVYO SASA HIVI, HATA MPENZI WAKO HUENDA ANAJIUZA!

Mpenzi msomaji wangu, kichwa cha habari hapo juu huenda kimekushtua lakini huo ndiyo ukweli wa mambo! Nasema hivyo kutokana na kile ninachokishuhudia sasa hivi kwenye ulimwengu wa mapenzi. Kwa wale ambao wanapitapita maeneo yanayosifika kwa biashara ya ukahaba watakubaliana na mimi kwamba hali ni mbaya sana. Mabinti wazuri sana wanaonekana mida ya usiku wakiwa mawindoni.Wanajinadi kwa wanaume wanaopita huku wakiwa wamevalia nusu...

 

9 years ago

Mwananchi

Wakati wa kutoa elimu ya mpigakura ni sasa

Jana tulichapisha habari katika ukurasa wa mbele, ambayo ililenga kutoa elimu ya mpigakura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi ujao. Habari hiyo ilieleza kwa kifupi hatua nane muhimu ambazo wapigakura waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura watapaswa kuzipitia kabla hawajakamilisha jukumu lao la kikatiba la kuwachagua viongozi wanaowataka.

 

10 years ago

Mwananchi

Lady Jaydee: Ni wakati wangu sasa

Baada ya tetesi kuwa ameachana na mumewe, mwanamuziki Judith Wambura maarufu Lady Jaydee amesema leo anajitokeza kwa mara ya kwanza mbele ya mashabiki wake kwani wakati wa kufanya hivyo umewadia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani