Jeshi sasa kuanzisha benki
GRACE SHITUNDU NA ESTHER MNYIKA
CHAMA cha Akiba na Mikopo cha Ngome (Ngome Saccos) kinachoendeshwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ) kimewataka maofisa na askari kujiunga nao ili kufikia lengo la kuanzisha benki yao wenyewe itakayoitwa Ngome Benki.
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Kanali Charo Yateri, wakati akitoa taarifa katika semina ya wakuu wa vikosi, vyuo na shule za mafunzo ya jeshi iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl.
Alisema benki hiyo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Feb
TCCIA sasa kuanzisha Benki ya Maendeleo
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
UK kuanzisha benki ya mbegu za kiume
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Bodi Serikali za Mitaa kuanzisha benki
BODI ya Mikopo ya Serikali za Mitaa nchini inatarajia kuanzisha Benki ya Maendeleo, ili kuweza kukopesha halmashauri mbalimbali nchini kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inayolenga kuchochea shughuli za maendeleo....
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Ni wakati wa kuanzisha benki ya vijana nchini
10 years ago
Dewji Blog20 Sep
TAMISEMI kuanzisha benki ya maendeleo, bilioni 50 kutumika
Mjumbe wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa, George Lubeleje ( wa tatu kulia).Picha na Maktaba.
Na Mwandishi wetu
Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa inatarajia kuanzisha Benki ya maendeleo ya Serikali za Mitaa ambayo pamoja na mambo mengine Jukumu lake la Msingi litakuwa ni Kutoa Mikopo yenye masharti nafuu kwenye Halmashauri kwa ajili ya kutekeleza miradi inayolenga kuchochea shughuli za kiuchumi, kuongeza ajira na Mapato ya Halmashauri ili kujiletea Maendeleo ndani ya Halmashauri na...
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Hongera Serikali kwa kuanzisha benki ya kilimo
SERIKALI hivi karibuni imetangaza kuanzisha benki maalumu ya maendeleo ya kilimo.
Benki hiyo inajulikana kwa jina la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Benki hiyo bado haijaanza kazi ikisubiri kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hata hivyo, imekwisha kuanza mchakato wa kutafuta wafanyakazi watakaotoa huduma.
Kwa mujibu wa serikali, pamoja na mambo mengine madhumuni makuu ya kuanzishwa kwa benki hii ni kurahisisha upatikanaji wa mikopo katika sekta ya kilimo ili...
10 years ago
GPLWALIMU KUANZISHA BENKI YA BIASHARA MWAKA HUU
9 years ago
Habarileo02 Oct
Lowassa aahidi kuanzisha benki ya mikopo nafuu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, Edward Lowassa amesema akiteuliwa kuwa rais ataanzisha benki ya maendeleo kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wananchi wa kipato cha chini.
9 years ago
Mwananchi29 Sep
ACT Wazalendo kuanzisha benki kwa watu wa Kigoma