Bodi Serikali za Mitaa kuanzisha benki
BODI ya Mikopo ya Serikali za Mitaa nchini inatarajia kuanzisha Benki ya Maendeleo, ili kuweza kukopesha halmashauri mbalimbali nchini kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inayolenga kuchochea shughuli za maendeleo....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 May
Serikali kuanzisha bodi ya kitaalamu ya walimu
SERIKALI imeamua kuanzisha bodi ya kitaalamu ya walimu Tanzania katika mwaka ujao wa fedha, itakayosimamia masuala ya walimu, ikiwemo usajili, uendelezaji wa walimu na maadili ya kazi ya ualimu.
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Hongera Serikali kwa kuanzisha benki ya kilimo
SERIKALI hivi karibuni imetangaza kuanzisha benki maalumu ya maendeleo ya kilimo.
Benki hiyo inajulikana kwa jina la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Benki hiyo bado haijaanza kazi ikisubiri kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hata hivyo, imekwisha kuanza mchakato wa kutafuta wafanyakazi watakaotoa huduma.
Kwa mujibu wa serikali, pamoja na mambo mengine madhumuni makuu ya kuanzishwa kwa benki hii ni kurahisisha upatikanaji wa mikopo katika sekta ya kilimo ili...
9 years ago
StarTV18 Dec
Serikali yashauriwa kuanzisha benki kwa waajiriwa binafsi ya mikopo
Serikali imeshauriwa kuanzisha benki ya Vijana ambayo itatoa mikopo kwa vijana wanaohitimu mafunzo ya ufundi pamoja na wasomi mbalimbali wanaotaka kujiajiri wenyewe.
Kukosekana kwa benki hiyo na taasisi za kifedha zinazohudumia vijana kunatajwa kuwa miongoni mwa changamoto inayodumaza hali ya uchumi wa Taifa kutokana na asilimia kubwa ya nguvu kazi ya vijana kutotumika ipasavyo baada ya vijana wengi kukosa ajira katika sekta rasmi.
Asilimia kubwa ya vijana kwa sasa tatizo lao si elimu –...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s72-c/MMGM8382.jpg)
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s1600/MMGM8382.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-nhubQhZpWwc/U8kYyb0ubPI/AAAAAAAF3Yc/vWolIRDUZ5Q/s1600/MMGM8396.jpg)
10 years ago
Mtanzania06 Jun
Jeshi sasa kuanzisha benki
GRACE SHITUNDU NA ESTHER MNYIKA
CHAMA cha Akiba na Mikopo cha Ngome (Ngome Saccos) kinachoendeshwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ) kimewataka maofisa na askari kujiunga nao ili kufikia lengo la kuanzisha benki yao wenyewe itakayoitwa Ngome Benki.
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Kanali Charo Yateri, wakati akitoa taarifa katika semina ya wakuu wa vikosi, vyuo na shule za mafunzo ya jeshi iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl.
Alisema benki hiyo...
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
UK kuanzisha benki ya mbegu za kiume
11 years ago
Mwananchi18 Feb
TCCIA sasa kuanzisha Benki ya Maendeleo
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Ni wakati wa kuanzisha benki ya vijana nchini
10 years ago
Dewji Blog20 Sep
TAMISEMI kuanzisha benki ya maendeleo, bilioni 50 kutumika
Mjumbe wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa, George Lubeleje ( wa tatu kulia).Picha na Maktaba.
Na Mwandishi wetu
Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa inatarajia kuanzisha Benki ya maendeleo ya Serikali za Mitaa ambayo pamoja na mambo mengine Jukumu lake la Msingi litakuwa ni Kutoa Mikopo yenye masharti nafuu kwenye Halmashauri kwa ajili ya kutekeleza miradi inayolenga kuchochea shughuli za kiuchumi, kuongeza ajira na Mapato ya Halmashauri ili kujiletea Maendeleo ndani ya Halmashauri na...