Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCCIA sasa kuanzisha Benki ya Maendeleo

Chama cha Wafanyabiashara, Kilimo na Viwanda (TCCIA) Mkoa wa Rukwa, kimeanza mchakato wa uanzishaji benki itakayo wawezesha wanachama wake kuweza kupata mikopo yenye riba nafuu kupitia benki hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Jeshi sasa kuanzisha benki

GRACE SHITUNDU NA ESTHER MNYIKA
CHAMA cha Akiba na Mikopo cha Ngome (Ngome Saccos) kinachoendeshwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ) kimewataka maofisa na askari kujiunga nao ili kufikia lengo la kuanzisha benki yao wenyewe itakayoitwa Ngome Benki.

Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Kanali Charo Yateri, wakati akitoa taarifa katika semina ya wakuu wa vikosi, vyuo na shule za mafunzo ya jeshi iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl.

Alisema benki hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

TAMISEMI kuanzisha benki ya maendeleo, bilioni 50 kutumika

KAMATI YA KATIBA YA BUNGE_

Mjumbe wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa, George Lubeleje ( wa tatu kulia).Picha na Maktaba.

Na Mwandishi wetu

Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa inatarajia kuanzisha Benki ya maendeleo ya Serikali za Mitaa  ambayo pamoja na mambo mengine Jukumu lake la Msingi litakuwa ni Kutoa Mikopo yenye masharti nafuu kwenye Halmashauri kwa ajili ya kutekeleza miradi inayolenga kuchochea shughuli za kiuchumi, kuongeza ajira na Mapato ya Halmashauri ili kujiletea Maendeleo ndani ya Halmashauri na...

 

10 years ago

Michuzi

warsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Thomas Samkyi akizungumza katika warsha juu ya kujadili mpango wa maendeleo wa taasisi hiyo kwa miaka 25 ijayo. Warsha hiyo ilifanyika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam.Mkuu wa Mipango, Sera na Ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Francis Assenga akizungumza na wadau katika mkutano huo.Wadau wa sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji wakifuatilia warsha ya mpango wa maendeleo wa miaka 25 wa benki...

 

11 years ago

BBCSwahili

UK kuanzisha benki ya mbegu za kiume

Uingereza inatarajia kuanzisha benki ya mbegu za kiume kuondokana na upungufu wa mbegu hizo za uzazi

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, mchana wa leo ametiliana saini makubaliano ya mkataba wa kuanzisha Mradi wa Maji katika Wilaya ya Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro..  Dr. Likwelile alisaini Mkataba huo kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya uchumi ya Afrika. Aliye wakilisha Benki hiyo ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bodi Serikali za Mitaa kuanzisha benki

BODI ya Mikopo ya Serikali za Mitaa nchini inatarajia kuanzisha Benki ya Maendeleo, ili kuweza kukopesha halmashauri mbalimbali nchini kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inayolenga kuchochea shughuli za maendeleo....

 

10 years ago

Mwananchi

Ni wakati wa kuanzisha benki ya vijana nchini

Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa alifanya mengi ambayo yanakumbukwa hadi leo lakini kwa upande wa vijana wanalolikumbuka kwa haraka ni uwanja wa kisasa wa Taifa uliojengwa katika kipindi cha utawala wake.

 

5 years ago

Bongo5

Serikali kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iko katika mchakato wa kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’ ambao una dhima kubwa ya kusaidia kuinua kipato.

Naibu Waziri wa Wizara Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura

Aidha mfuko huo utaongeza tija na weledi kupitia utaratibu wa upatikanaji fedha utakaowekwa ili kuwawezesha wasanii kuzalisha kazi bora za sanaa zenye kukidhi viwango vya masoko ndani na nje ya nchi.

Akijibu swali la Mbunge wa Kinondoni, Maulid Said Mtulia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani