Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iko katika mchakato wa kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’ ambao una dhima kubwa ya kusaidia kuinua kipato.

Naibu Waziri wa Wizara Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura

Aidha mfuko huo utaongeza tija na weledi kupitia utaratibu wa upatikanaji fedha utakaowekwa ili kuwawezesha wasanii kuzalisha kazi bora za sanaa zenye kukidhi viwango vya masoko ndani na nje ya nchi.

Akijibu swali la Mbunge wa Kinondoni, Maulid Said Mtulia...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Habarileo

Serikali kuanzisha mfuko wa Ukimwi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama SERIKALI imeshitukia utegemezi wa wafadhili katika kuhudumia watu wenye virusi vya Ukimwi nchini, ikiwemo utoaji wa dawa za kurefusha maisha (ARVs) na sasa imekubali kuanzisha Mfuko maalumu, utakaowezesha nchi kujitegemea katika kufanikisha huduma hizo.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUANZISHA MFUKO MAALUM WA KILIMO

Naibu Waziri Hussein Bashe akizungumza na vijana wa Mikoa ya Kagera,Shinyanga na Geita wakati wa kongamano la vijana mjini Chato
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akizungumza na vijana mjini Chato leo.
Sehemu ya washiriki wa kongamano la vijana Chato


Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema wizara ya kilimo inakusudia kuanzisha mfuko maalum kwa ajili kusimamia maendeleo ya mazao ya pamba,tumbaku na korosho.

Ametoa kauli hiyo leo mjini Chato alipokuwa akizunguzma kwenye kongamano la...

 

10 years ago

Michuzi

Kikundi cha Ngara Youth Foundation kimeishukuru Serikali kwa kupatiwa Mkopo kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.

 Na Anitha Jonas – Maelezo, Kagera Kikundi cha vijana cha Ngara Youth Foundation chenye wanachama wapatao kumi na moja waliomaliza elimu ya juu wamenufaika baada ya kupata mkopo wa Milioni tano kupitia mfuko wa Maendeleo ya Vijana na kuanzisha miradi miwili ikiwemo mradi wa kuuza mbao na mradi wa kuosha magari. Hayo yalisemwa jana na Katibu wa kikundi hicho Bw. Jason Athanas alipotembelewa na maafisa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kutathimini miradi...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MTENDAJI MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII AANIKA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KWA KAYA MASIKINI ZILIZOFIKIWA NA MFUKO HUO NCHINI

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii.
MKURUGENZI Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Ladislaus Mwamanga amesema kuwa programu ya TASAF imetekelezwa katika awamu tatu na imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali katika ngazi ya jamii kwa lengo la kupunguza umasikini kwa msingi wa kutoa huduma za jamii katika sekta zote.
Utekelezaji huo umekuwa ukizingatia mahitaji halisi au kero za wananchi wenyewe kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Serikali na kwamba awamu ya kwanza ya TASAF...

 

10 years ago

GPL

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa Maendeleo,maafisa wa…

 

10 years ago

Michuzi

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii chachu ya Maendeleo Wilaya ya korogwe

Afisa Uchumi Mwandamizi kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Bw.Yohana Ngao(wa kwanza kulia) akiskiliza maoni kutoka kikundi cha Nyota Alfajiri ambao wameanzisha mradi wa kutengeneza Matofali na kuuza Asali ambapo walichukua mkopo wa shilingi milioni mbili na kurudisha kiasi cha shilingi laki 732,000 wakiwa wamefata taratibu zote za kurudisha mkopo ndani ya mwezi mmoja.Wajumbe wa Kikosi kazi kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo wakiaangalia moja ya mradi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Kibaha kuanzisha Mfuko wa Elimu

HALMASHAURI ya Mji Kibaha inatarajia kuanzisha Mfuko wa Elimu ili kuweza kuboresha kiwango cha elimu na ufaulu kwa wanafunzi kwa kutoa elimu bora inayokwenda sambamba na ulimwengu wa sayansi na teknolojia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani