Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuanzisha mfuko wa Ukimwi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama SERIKALI imeshitukia utegemezi wa wafadhili katika kuhudumia watu wenye virusi vya Ukimwi nchini, ikiwemo utoaji wa dawa za kurefusha maisha (ARVs) na sasa imekubali kuanzisha Mfuko maalumu, utakaowezesha nchi kujitegemea katika kufanikisha huduma hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Serikali kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iko katika mchakato wa kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’ ambao una dhima kubwa ya kusaidia kuinua kipato.

Naibu Waziri wa Wizara Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura

Aidha mfuko huo utaongeza tija na weledi kupitia utaratibu wa upatikanaji fedha utakaowekwa ili kuwawezesha wasanii kuzalisha kazi bora za sanaa zenye kukidhi viwango vya masoko ndani na nje ya nchi.

Akijibu swali la Mbunge wa Kinondoni, Maulid Said Mtulia...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUANZISHA MFUKO MAALUM WA KILIMO

Naibu Waziri Hussein Bashe akizungumza na vijana wa Mikoa ya Kagera,Shinyanga na Geita wakati wa kongamano la vijana mjini Chato
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akizungumza na vijana mjini Chato leo.
Sehemu ya washiriki wa kongamano la vijana Chato


Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema wizara ya kilimo inakusudia kuanzisha mfuko maalum kwa ajili kusimamia maendeleo ya mazao ya pamba,tumbaku na korosho.

Ametoa kauli hiyo leo mjini Chato alipokuwa akizunguzma kwenye kongamano la...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaanzisha Mfuko wa Ukimwi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge), Jenista MhagamaSERIKALI imetangaza kuanzisha mfuko wa kudhibiti Ukimwi ili kupunguza utegemezi wa fedha za wahisani katika kudhibiti janga hilo na kupunguza idadi ya vifo vya Watanzania pale ambapo washirika wa maendeleo wakiamua kuondoa misaada yao.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Habarileo

Kibaha kuanzisha Mfuko wa Elimu

HALMASHAURI ya Mji Kibaha inatarajia kuanzisha Mfuko wa Elimu ili kuweza kuboresha kiwango cha elimu na ufaulu kwa wanafunzi kwa kutoa elimu bora inayokwenda sambamba na ulimwengu wa sayansi na teknolojia.

 

11 years ago

Mwananchi

Al Saed kuanzisha mfuko wa ‘mtoto wa boksi’ Moro

Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Alsaed, Omary Al Saed wa mjini Morogoro anakusudia kuwasiliana na wadau wenzake ili kuanzisha Taasisi ya Nasra Mvungi Foundation, ili kuonyesha namna walivyoguswa na mateso na hatimaye kifo cha mtoto huyo aliyefichwa kwenye boksi kwa muda wa miaka mitatu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa Ukimwi mbioni kuanzishwa

IMG_4528

Mkurugenzi wa Sera, Mpango na Utafiti wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt. Raphael Kalinga akiwaeleza jambo waandishi wa Habari( Hawapo pichani) Wakati wa Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar Es Salaam.Kushoto ni Afisa Habari Mkuu wa Tume Hiyo Bi. Nadhifa Omar.

Na Hassan Silayo-MAELEZO

Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imedhamiria kuanzisha Mfuko wa Ukimwi utakaolenga kuondoa upungufu wa Rasilimali katika...

 

10 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu cha St. John’s kuanzisha mfuko wa Ufadhili

CHUO Kikuu cha St. John’s cha mjini hapa kitaanzisha mfuko wa ufadhili wa wanafunzi kwa ajili ya kusaidia sehemu ya gharama kwa wanafunzi wenye sifa wasio na uwezo wa kujilipia ada na wasiopata fedha za Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu.

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri waridhia kuanzishwa Mfuko wa Ukimwi

William LukuviBARAZA la Mawaziri limepitisha suala la uanzishwaji wa Mfuko wa Ukimwi na kuridhia mapitio ya Sheria ya Ukimwi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani