Mfuko wa Ukimwi mbioni kuanzishwa
Mkurugenzi wa Sera, Mpango na Utafiti wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt. Raphael Kalinga akiwaeleza jambo waandishi wa Habari( Hawapo pichani) Wakati wa Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar Es Salaam.Kushoto ni Afisa Habari Mkuu wa Tume Hiyo Bi. Nadhifa Omar.
Na Hassan Silayo-MAELEZO
Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imedhamiria kuanzisha Mfuko wa Ukimwi utakaolenga kuondoa upungufu wa Rasilimali katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 Dec
Mawaziri waridhia kuanzishwa Mfuko wa Ukimwi
BARAZA la Mawaziri limepitisha suala la uanzishwaji wa Mfuko wa Ukimwi na kuridhia mapitio ya Sheria ya Ukimwi.
11 years ago
Habarileo21 May
Mfuko wa mabadiliko ya tabianchi kuanzishwa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inatarajia kuanzisha Mfuko wa Fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambayo miongoni mwa athari zake ni uharibifu wa mazingira.
11 years ago
Habarileo07 Mar
Ashauri kuanzishwa mfuko wa kilimo cha pamba
SERIKALI imeshauriwa kuweka mfuko maalumu kwa ajili ya kuendeleza Kilimo cha Pamba hapa nchini badala ya kupoteza fedha zake nyingi katika kuendesha vikao vinavyohusu zao hilo. Ombi hilo lilitolewa juzi na Meneja wa Kiwanda cha Kahama oil Mill, William Matonange wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya Kilimo cha mkataba ambacho wao kama wanunuzi wa zao hilo hawakubaliani nacho.
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Mfuko wa kumsaidia mke, mtoto wa Mawazo kuanzishwa
10 years ago
Dewji Blog05 Feb
Zanzibar mbioni kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Pili kutoka Kulia akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya Tanzania ukiongozwa na Bwana Ezekiel Olouchi aliyepo kati kati yao. Kushoto kwa Balozi Seif ni Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya Kanda ya Zanzibar Nd. Ismail Kangeta, kulia ya Bwana Ezekiel Olouchi ni Mkurugenzi wa Wizara ya Afya aliyenyoa Nywele Dr. Moh’d Mohammed na Mkurugenzi wa ICT Nd. Ali Othman.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeombwa kuona haja kwa...
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Mfuko wa Pensheni wa PSPF watimiza miaka 15 tokea kuanzishwa kwake
Mkurugenzi wa Idara ya Habari- Maelezo, Bw Assah Mwambene akizungumza jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari na Viongozi wa Mfuko wa Hifadhi wa Pensheni wa PSPF mapema leo katika Ukumbi wa JB Belmonte, Jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa pensheni wa PSPF, Bw Adam Mayingu akizungumzia mafanikio ya mfuko wa PSPF katika kipindi cha Miaka 15 tokea kuanzishwa kwake katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa JB Belmonte Jijini Dar.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Z-yabrVVRq8/XnkQntw2B2I/AAAAAAALk3Q/NBBbRn9udYEvGEta-ObIf6mBa6PAifJKACLcBGAsYHQ/s72-c/4bv72a233d47ac1meu8_800C450.jpg)
Mfuko wa kimataifa kuanzishwa kwa ajili ya kuwasaidia waathiriwa wa virusi vya corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-Z-yabrVVRq8/XnkQntw2B2I/AAAAAAALk3Q/NBBbRn9udYEvGEta-ObIf6mBa6PAifJKACLcBGAsYHQ/s640/4bv72a233d47ac1meu8_800C450.jpg)
Taarifa iliyotolewa na Ine Eriksen Søreide imesema kuwa, mfuko huo utazishirikisha jumuiya na taasisi wafadhili chini ya Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuzidisha juhudi za kimataifa za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona na kuwasaidia watu walioambukizwa virusi hivyo.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa, tangazo rasmi la...
10 years ago
Habarileo05 Feb
Serikali kuanzisha mfuko wa Ukimwi
SERIKALI imeshitukia utegemezi wa wafadhili katika kuhudumia watu wenye virusi vya Ukimwi nchini, ikiwemo utoaji wa dawa za kurefusha maisha (ARVs) na sasa imekubali kuanzisha Mfuko maalumu, utakaowezesha nchi kujitegemea katika kufanikisha huduma hizo.
10 years ago
Habarileo26 Mar
Serikali yaanzisha Mfuko wa Ukimwi
SERIKALI imetangaza kuanzisha mfuko wa kudhibiti Ukimwi ili kupunguza utegemezi wa fedha za wahisani katika kudhibiti janga hilo na kupunguza idadi ya vifo vya Watanzania pale ambapo washirika wa maendeleo wakiamua kuondoa misaada yao.