Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfuko wa kumsaidia mke, mtoto wa Mawazo kuanzishwa

Mwili wa aliyekuwa, Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo (Savimbi) umezikwa leo saa tisa alasiri kijijini kwao Chikobe Jimbo la Busanda mkoani Geita nyumbani kwa mjomba wake, huku simanzi, vilio na majonzi vikitawala.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa Ukimwi mbioni kuanzishwa

IMG_4528

Mkurugenzi wa Sera, Mpango na Utafiti wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt. Raphael Kalinga akiwaeleza jambo waandishi wa Habari( Hawapo pichani) Wakati wa Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar Es Salaam.Kushoto ni Afisa Habari Mkuu wa Tume Hiyo Bi. Nadhifa Omar.

Na Hassan Silayo-MAELEZO

Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imedhamiria kuanzisha Mfuko wa Ukimwi utakaolenga kuondoa upungufu wa Rasilimali katika...

 

11 years ago

Habarileo

Mfuko wa mabadiliko ya tabianchi kuanzishwa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inatarajia kuanzisha Mfuko wa Fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambayo miongoni mwa athari zake ni uharibifu wa mazingira.

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri waridhia kuanzishwa Mfuko wa Ukimwi

William LukuviBARAZA la Mawaziri limepitisha suala la uanzishwaji wa Mfuko wa Ukimwi na kuridhia mapitio ya Sheria ya Ukimwi.

 

11 years ago

Habarileo

Ashauri kuanzishwa mfuko wa kilimo cha pamba

SERIKALI imeshauriwa kuweka mfuko maalumu kwa ajili ya kuendeleza Kilimo cha Pamba hapa nchini badala ya kupoteza fedha zake nyingi katika kuendesha vikao vinavyohusu zao hilo. Ombi hilo lilitolewa juzi na Meneja wa Kiwanda cha Kahama oil Mill, William Matonange wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya Kilimo cha mkataba ambacho wao kama wanunuzi wa zao hilo hawakubaliani nacho.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa Pensheni wa PSPF watimiza miaka 15 tokea kuanzishwa kwake

Mkurugenzi wa Idara ya Habari- Maelezo, Bw Assah Mwambene akizungumza jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari na Viongozi wa Mfuko wa Hifadhi wa Pensheni wa PSPF mapema leo katika Ukumbi wa JB Belmonte, Jijini Dar Es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa pensheni wa PSPF, Bw Adam Mayingu akizungumzia mafanikio ya mfuko wa PSPF katika kipindi cha Miaka 15 tokea kuanzishwa kwake katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa JB Belmonte Jijini Dar.

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kumsaidia mgumba kupata mtoto

Mimi ni mwanaume wa miaka 62 ni mmoja wa waathirika wa tatizo la ugumba, kwa muda mrefu nimekuwa nikihangaikia bila mafanikio kutatua tatizo hili.

 

5 years ago

Michuzi

Mfuko wa kimataifa kuanzishwa kwa ajili ya kuwasaidia waathiriwa wa virusi vya corona

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway amesema kuwa, Umoja wa Mataifa utaanzisha mfuko wa kusaidia matibabu ya wagonjwa wa virusi vya corona katika pembe mbalimbali za dunia.

Taarifa iliyotolewa na Ine Eriksen Søreide imesema kuwa, mfuko huo utazishirikisha jumuiya na taasisi wafadhili chini ya Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuzidisha juhudi za kimataifa za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona na kuwasaidia watu walioambukizwa virusi hivyo.

Taarifa hiyo imeongeza kuwa, tangazo rasmi la...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIBA DMV NA TANZANIA NA ACCOUNT YA KUMSAIDIA MTOTO GRACE

Geraldine Ngowi na Grace Michael Mlingi wa Silver Spring MD ,wanasikitika kutangaza kifo cha baba mzazi wa Grace Mlingi MICHAEL NDASKOI MLINGI kilichotokea Leo jumapili Dar es Salam Tanzania.Msiba utakuwepo nyumbani kwao white oak,MD.
Adress :11620 Stewart lane apt.404
Silver Spring MD 20904
For additional information you can call telephone nos.202 531 2254 or 240 429 1749 na kuongea na mama au mwana.Mipango ya Kwenda nyumbani inafanyika as soon as possible. Pia unaweza kutoa rambirambi zako...

 

10 years ago

Habarileo

Atupwa jela miaka 30 kwa kumsaidia mtoto kubaka

MAMA aliyemsaidia mwanawe kubaka , Regina Kigelulye, ametupwa jela miaka 30 sawa na mtoto wake ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kubaka, Sagimembe Mroso.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani