Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfuko wa kimataifa kuanzishwa kwa ajili ya kuwasaidia waathiriwa wa virusi vya corona

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway amesema kuwa, Umoja wa Mataifa utaanzisha mfuko wa kusaidia matibabu ya wagonjwa wa virusi vya corona katika pembe mbalimbali za dunia.

Taarifa iliyotolewa na Ine Eriksen Søreide imesema kuwa, mfuko huo utazishirikisha jumuiya na taasisi wafadhili chini ya Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuzidisha juhudi za kimataifa za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona na kuwasaidia watu walioambukizwa virusi hivyo.

Taarifa hiyo imeongeza kuwa, tangazo rasmi la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UWASWATA kutoa msaada wa Sabuni kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona.

Umoja wa wazalishaji sabuni wadogo Tanzania (UWASWATA) unatarajia  kuungana na serikali katika mapambano  Virusi vya Corona kwa kutoa mchango wao wa Sabuni kwa ajili ya Hospitali Jijini Dar es Salaam.

Sabuni hizo zitatolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ambaye atatoa sabuni hizo kutokana na uhitaji wa hospitali.

Akizungumza na Michuzi  TV Katibu wa Umoja huo Maria Lucas amesema kuwa hawawezi kuiachia serikali peke yake katika mapambano ya Virusi vya Corona.

Amesema Wana sabuni...

 

5 years ago

Michuzi

DRC yatangaza hali ya dharura kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya Corona

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza hali ya dharura na kuufunga mji mkuu wa Kinshasa kujitenga katika hatua ya kupambana naa maambukizi ya virusi vya Corona.

Rais Félix Tshisekedi alitangaza kuchukua hatua hizo jana jioni kupitia televisheni ya taifa.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa, pamoja na kufunga mipaka ya nchi, kusitisha safari za ndani na nje ya mji mkuu zikiwemo za mabasi, ndege na majini, utekelezaji wa haraka unahitajika.

Mpaka sasa Jamhuri ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je ni kwanini inakua vigumu kulinganisha viwango vya corona kimataifa?

Je unapaswa kuwa unalinganisha takwimu za Covid-19 kati ya nchi mbali mbali?

 

5 years ago

BBCSwahili

Tazama jinsi hospitali hii ilivyojengwa ndani ya siku 10 ili kuwashughulikia waathiriwa wa virusi vya Corona China

Hospitali yenye uwezo wa kupokea wagonjwa 1,000 imejengwa mjini Wuhan ili kukabiliana na mlipuko wa virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je virusi vya corona ni majaribu kiasi gani kwa Afrika?

Ongezeko la visa vya ugonjwa wa Covid-19 ni changamoto kubwa kwa sekta za Afya barani Afrika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kwa nini ni muhimu kupima virusi vya corona?

Kila nchi imeonekana ikikabiliana na mlipuko wa virusi vya corona kwa namna yake ,lakini yawezekana kuwa suala la kila mtu kupima virusi vya corona ni muhimu na kila nchi kuzingatia hilo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: sababu za kuwepo kwa mlipuko wa virusi kwenye viwanda vya nyama

Mamia ya wafanyakazi wamepatikana na virusi vya corona katika makapuni ya kutengeneza nyama na machinjioni

 

5 years ago

BBCSwahili

Mabadiliko ya virusi vya corona: Kwanini virusi vya corona vina tabia ya magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono

Utafiti wa virusi vya Covid-19 ulikadiria kwamba kiwango kikuu cha maambukizi ya virusi hivyo hutokea siku moja au mbili kabla ya mtu aliyeambukizwa kuanza kuonyesha dalili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani